iqna

IQNA

denmark
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepongeza uamuzi wa hivi majuzi wa bunge la Denmark wa kuharamisha kunajisi maandishi ya kidini.
Habari ID: 3478056    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza hatua ya Denmark ya kupiga marufuku vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kutarajia nchi nyingine za Ulaya zitafanya hivyo.
Habari ID: 3478021    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Uislamu Ulaya
Bunge la Denmark limepitisha mswada wa sheria inayoharamisha vitendo vya kuvunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3478003    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08

Vyama vya upinzani vya serikali ya Denmark viliwataka wawakilishi wao katika bunge la nchi hiyo kuhudhuria siku ya kupiga kura kupinga mswada uliopendekezwa unaokataza kudhalilisha matukufu ya dini.
Habari ID: 3477690    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05

TEHRAN (IQNA)- Iran imewaita wanadiplomasia wa Uswidi na Denmark katika mji mkuu Tehran kubainisha malalmiko yake makali kuhusu vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hizo mbili za Nordic.
Habari ID: 3477471    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Ubalozi wa Iran nchini Denmark umelaani vikali vitendo vya mara kwa mara kwa mara vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ndani ya taifa hilo la Nordic.
Habari ID: 3477393    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/07

Waziri Mkuu wa Denmark
COPENHAGEN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Denmark amesema kupigwa marufuku kwa vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu hakuwezi kuzuia uhuru wa kujieleza.
Habari ID: 3477379    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa kudumu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wenye makao yake katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisii umelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu katika mji mkuu wa Denmark Copenhagen.
Habari ID: 3477325    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23

Rasmus Paludan, mwanasiasa wa Denmark mwenye siasa kali za chuki dhidi ya Uislamu alipigwa marufuku kushiriki katika tamasha la kisiasa la Folkemodet katika kisiwa cha Bornholm.
Habari ID: 3477151    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/17

Taarifa ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kanani amelaani vikali kitendo cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kilichofanywa nchini Denmark.
Habari ID: 3476875    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/16

Kukabiliana na maadui wa Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Yemen imepiga marufuku kuingia kwa bidhaa zinazozalishwa na nchi za Ulaya ambazo zimewezesha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, ambapo kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ameitaja hatua wanayochukua kuwa ni "vikwazo vya kiuchumi".
Habari ID: 3476802    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/02

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Denmark nchini humo ili kutoa malalamiko yake ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Ulaya.
Habari ID: 3476795    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01

Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, watu wanaoongoza jinai ya kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu na kulikariri hilo ni lobi za Wazayuni.
Habari ID: 3476789    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
Habari ID: 3476779    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/29

Askofu Mkuu wa Vienna
TEHRAN (IQNA) – Askofu Mkuu wa Vienna anasema kumtusi Mtume Muhammad (SAW) pamoja na kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu ni mambo ambayo hayawezi kuhalalishwa kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza.
Habari ID: 3476652    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03

Waislamu Denmark
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Denmark inasema haitaunga mkono hoja inayotaka kupiga marufuku wanafunzi na wafanyakazi kuvaa hijabu katika shule za msingi.
Habari ID: 3476651    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03

TEHRAN (IQNA) – Maandamano makubwa yameibuka kusini mwa Sweden Ijumaa usiku baada ya mwanasiasa wa Denmark anayepinga Uislamu kuzuiwa kuhudhuria hafla ya kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473115    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya usomaji Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanafunzi wa shule yamefanyika katika mji mdogo wa Glostrup ulio karibu na mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
Habari ID: 3471473    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/20

TEHRAN (IQNA)-Denmark Imefuta sheria inayopiga marufuku kuzivunjia heshima dini na punde baada ya hapo aliyeivunjia heshima Qur'ani ameachiliwa huru.
Habari ID: 3471006    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/04

Kumefanyika mashindano ya adhana katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wikiendi iliyopita.
Habari ID: 3470580    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/26