IQNA

Israel imeua Wapalestina zaidi ya 254 na kujeruhi wengine 23,000 Gaza

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Israel limeua zaidi ya Wapalestina 254 na kuwajeruhi wengine wasiopungua 23,000 tokea yaanze 'Maandamano Makubwa...

Qur'ani Tukufu Yasomwa Masaa 24 katika Msikiti wa Jamia Moscow, Russia

TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow, umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila...

Mkuu wa zamani wa kitivo cha Qurani mjini Madina afariki gerezani Saudia

TEHRAN (IQNA)-Mhubiri mashuhuri Saudi Arabia, Ahmed al-Amari, amefariki mjini Jeddah, Saudi Arabia.

Kongamano la Kimataifa la Kiislamu nchini Misri lajadili misimamo mikali, ugaidi

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu limefanyika nchini Misri na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi 40.
Habari Maalumu
UN: Myanmar inaendelea kuwazuia Waislamu Warohingya kurejea makwao

UN: Myanmar inaendelea kuwazuia Waislamu Warohingya kurejea makwao

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua ya Myanmar kuendelea Waislamu wa jamii ya Rohingya kurejea nchini humo.
19 Jan 2019, 15:19
Trump amteua adui wa Uislamu kuwa mshauri wake

Trump amteua adui wa Uislamu kuwa mshauri wake

TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za raia nchini Marekani yamemlaani rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumteua mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu...
18 Jan 2019, 21:42
Marekani yamkamata mtangazaji Mwislamu wa Press TV, avuliwa hijabu, alishwa nguruwe

Marekani yamkamata mtangazaji Mwislamu wa Press TV, avuliwa hijabu, alishwa nguruwe

TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama wa Marekani wamemkamata mtangazaji mashuhuri wa Televisheni ya Press TV Bi. Marzieh Hashemi ambapo wamemvua hijabu yake...
17 Jan 2019, 11:31
Magaidi wa Al Shabab wahujumu hoteli ya kifahari Nairobi na kuua watu 21

Magaidi wa Al Shabab wahujumu hoteli ya kifahari Nairobi na kuua watu 21

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab Jumanne walihujumu hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya na kuua watu 21.
16 Jan 2019, 20:43
Mahakama Uingereza yasema kupinga Uzayuni si kupinga Uyahudi

Mahakama Uingereza yasema kupinga Uzayuni si kupinga Uyahudi

TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wameshindwa kubatilisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza ambaye imekataa kumfungulia mashtaka mwanaharakati wa Palestina kufuatia...
15 Jan 2019, 20:21
Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha ya Amazigh yazinduliwa

Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha ya Amazigh yazinduliwa

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani Tukufu lwa lugha ya Amazigh imezinduliwa nchini Algeria.
14 Jan 2019, 13:33
Misri kufungua Shule 26 mpya za Qur'ani

Misri kufungua Shule 26 mpya za Qur'ani

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
13 Jan 2019, 20:49
Mtoto Mpalestina wa miaka 8 ahifadhi Qur'ani kamili baada ya miezi 8

Mtoto Mpalestina wa miaka 8 ahifadhi Qur'ani kamili baada ya miezi 8

TEHRAN (IQNA)- Mtoto mvulana wa Kipalestina mwenye umri minane amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu miezi minane tu baada ya kuanza zoezi la...
12 Jan 2019, 16:27
Watawala wa Marekani ni wapumbavu wa daraja la kwanza
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Watawala wa Marekani ni wapumbavu wa daraja la kwanza

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kuendelea kudhoofika mpaka leo vyombo vya mikakati na mahesabu vya Marekani ni ukweli...
10 Jan 2019, 11:52
Saudia inawatimua wakimbizi Waislamu Warohingya

Saudia inawatimua wakimbizi Waislamu Warohingya

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeanza mradi wa kuwatimua wakimbizi Waislamu wa jamii wa Rohingya ambao walikimbia mateso na mauaji...
09 Jan 2019, 11:23
Misikiti mingi ya Marekani haina Maimamu waliohitimu na wenye uwezo

Misikiti mingi ya Marekani haina Maimamu waliohitimu na wenye uwezo

TEHRAN (IQNA)- Jamii nyingi za Waislamu nchini Marekani sasa zinakumbwa na tatizo la ukosefu wa Maimamu waliohitimu wenye uwezo wa kuongeza sala, kufanya...
08 Jan 2019, 14:16
China yapitisha sheria ya kuwalazimu Waislamu wafuate Usosholisti

China yapitisha sheria ya kuwalazimu Waislamu wafuate Usosholisti

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China umepitisha sheria mpya ya kuufanya Uislamu nchini humo uendane na itikadi ya 'Usosholisti wa Kichina' katika kipindi cha...
07 Jan 2019, 12:15
Picha