IQNA - Watu katika miji kadhaa ya Iran waliingia mitaani kusherehekea operesheni ya kulipiza kisasi ya Iran dhidi ya utawala wa Israel mnamo Oktoba 1, 2024. Katika operesheni hiyo iliyopewa jina la 'Ahadi ya Kweli II' Iran ilivurumisha mamia ya makombora dhidi ya ngome za kijeshi na kijasusi za utawala wa Kizayuni wa Israel kulipiza kisasi mauaji ya makamanda wa muqawama hasa Ismail Haniya wa Hamas na Sayyid Hassan Nasrallah wa Hizbullah.
15:11 , 2024 Oct 04