Habari Maalumu
IQNA-Wizara ya Wakfu wa Kidini ya Misri imemteua rasmi Qari Dkt. Ahmed Ahmed Nuaina kuwa Sheikh al-Qurra, yaani Kiongozi Mkuu wa Wasomaji wa Qur'anI nchini...
17 Oct 2025, 07:45
IQNA – Katika juhudi za kuboresha huduma kwa mahujaji na wakazi wa Makkah, kampuni ya RUA Al Haram Al Makki imetangaza mradi mkubwa wa maendeleo unaojulikana...
17 Oct 2025, 07:38
IQNA – Chuo Kikuu cha Al-Ameed kimeandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an yanayojulikana kama “Qur'an Al-Nur”, yakihusisha wanafunzi kutoka zaidi ya vyuo...
17 Oct 2025, 07:24
IQNA – Tarehe 15 Oktoba, katika Msikiti Mkuu wa Astana, Kazakhstan, mashindano ya pili ya Kimataifa ya Usomaji na Kuhifadhi Qur'an Tukufu yamekamilika,...
17 Oct 2025, 07:17
IQNA – Dar al-Ifta ya Misri imetoa fatwa mpya ya kidini inayoruhusu raia kuelekeza mali ya zakat kusaidia mahitaji ya msingi ya watu waliokoseshwa makazi...
15 Oct 2025, 23:38
IQNA – Hatua ya mwisho ya Mashindano ya 26 ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind bint Maktoum imeanza rasmi Dubai, ikiwakutanisha wanaume na wanawake wanaohifadhi...
15 Oct 2025, 23:28
IQNA – Kijana mmoja wa Kipalestina amegundua nakala ya Msahafu ikiwa salama kabisa chini ya magofu ya nyumba yake iliyoharibiwa kaskazini mwa Gaza, akieleza...
15 Oct 2025, 23:08
IQNA – Imamu Mkuu wa Al-Azhar nchini Misri, Sheikh Ahmed al-Tayeb, amesisitiza umuhimu wa kuheshimu matukufu ydini na kuepa uka matusi au dharau dhidi...
15 Oct 2025, 12:37
IQNA – Maktaba ya Kitume ya Vatican imetenga eneo dogo kwa ajili ya watafiti Waislamu kuswali wanapoitembelea.
15 Oct 2025, 12:20
IQNA – Agizo limetolewa la kuandaa Sala ya Istisqa (kuomba mvua) katika misikiti yote ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) siku ya Ijumaa.
14 Oct 2025, 19:06
IQNA – Baada ya miezi kadhaa ya kufungwa kutokana na mashambulizi ya angani, Msikiti wa Al-Tawhid ulioko katika kambi ya wakimbizi ya Al-Shati, Gaza, umefunguliwa...
14 Oct 2025, 18:40
IQNA-Idara Kuu ya Mambo ya Kiislamu, Awqaf na Zakat ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuanza kwa usajili wa toleo la pili la Emirates International...
14 Oct 2025, 18:59
Ushirikiano katika Qur’ani Tukufu (Sehemu ya Pili)/2
IQNA – Neno Ta’avun (ushirikiano) hutumika kama istilahi ya kielimu katika fani nyingi, lakini katika Seerah ya Mtume Mtukufu (SAW), mara nyingi linahusiana...
14 Oct 2025, 18:22
IQNA – Mashindano ya kwanza ya Qur'ani na Sunnah yameanza rasmi nchini Brazil, katika bara la Amerika ya Kusini.
13 Oct 2025, 23:53
IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yatafanyika wakati wa toleo la pili la Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu...
13 Oct 2025, 23:46
Ushirikiano katika Qur'ani Tukufu/1
IQNA – Uislamu umeamuru wafuasi wake kusaidiana katika kutenda mema. Wakati watu wanapokusanyika na kuanzisha mahusiano ya kijamii, roho ya umoja huingia...
13 Oct 2025, 23:27