iqna

IQNA

BDS
Kususia bidhaa za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kampeni mpya ya kususia utawala wa Kizayuni imezinduliwa ili kuwataka Waislamu barani Ulaya na maeneo mengine duniani kuangalia lebo za matunda hasa tende na kuepuka kununua tende za utawala haramu wa Israel katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476629    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

TEHRAN (IQNA)- Wakati mwezi mtukufu wa Ramadhani unapokaribia, mkuu wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London amehimiza kususia tende zinazozalishwa na makampuni ya utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3475059    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

TEHRAN (IQNA)- Maandamano yanafanyika maeneo mbali mbali duniani kulitaka shirika la Ujerumani la mavazi la michezo la Puma kusitisha uungaji mkono kwa utawala wa kibaguzi wa Israel.
Habari ID: 3474334    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/24

TEHRAN (IQNA) – Shirika la mtandao wa kijamii wa Facebook limeufunga ukurasa wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) baada ya jumuiya hiyo kutoa fatwa yake ya kuwataka Waislamu wasusie bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473531    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imetoa fatua ya kuususia kikamilifu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kwamba, haijuzu kuuuzia wala kununua chochote kinachozalishwa na utawala huo mpaka utakapokomesha ukaliaji wake ardhi kwa mabavu.
Habari ID: 3473524    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04