IQNA

Mkuu wa Redio ya Qur'an ya Cairo alieleza

Qarii Mustafa Ismail; Mshindi wa nyoyo za wachamungu

Ridha Abdus Salam, mkuu wa Redio ya Qur'ani ya Cairo, amemtaja Sheikh Mustafa Ismail kuwa ni msomaji mahiri wa Qur'ani Tukufu ambaye usomaji wake uliteka nyoyo za wachamungu na kuacha hisia ya kudumu kwa wasikilizaji.
Kishikizo: mustafa ismail