IQNA

Qarii wa Misri, Hafidh wa Misri wachukua nafasi za kwanza Mashindano wa Qur'ani Malaysia

11:57 - May 08, 2016
Habari ID: 3470300
Mashindano ya 58 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia yamemalizika kwa qarii wan chi hiyo kuchukua nafasi ya kwanza katika mashindano hayo.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA mjini Kuala Lumpur, washindano wa mashindnao hayo ya kila mwaka walitangazwa katika sherehe iliyotangazwa Jumamosi usiku.

Katika kitengo cha wanaume kategoria ya qiraa, mwakilishi wa Malaysia alichukua nafasi ya kwanza akifuatiwa na wawkilishi wa Brunei, Indonesia, Iran na Ufilipino kwa taratibu.

Katika kategmoria ya kuhifadhi Qur'ani kikamilifu, hafidh wa Misri alichukua nafasi ya kwanza akifuatiwa na wawakilishi wa Malaysia na Marekani kwa taratibu katika kitengo cha wanaume.

Katika kitengo cha wanawake cha kategoria ya qiraa, mwakilishi wa Malaysia alichukua nafasi ya kwanza akifuatia na wawakilishi wa Brunei, Morocco kwa taratibu. Aidha katika kitengo cha wanawake cha kategoria ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu washindi walikuwa wawakilishi wa Misri, Malaysia na Lebanon kwa taratibu.

Jopo la majaji katika mashindano hayo walikuwa ni wataalamu wa Qur'ani kutoka Lebanon,Qatar, Brunei, Saudi Arabia, Jordan, Indonesia, Misri, Thailand na Malaysia.

Mashindano ya 58 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia mwaka hii yanafanyika chini ya kualimbiu ya "Kongamano la Kimataifa la Qiraa na Hifdhi ya Qur'ani Tukufu."

Mashindano hayo yaliwaleta pamoja washiriki 120 kutoka nchi 69 duniani.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA mjini Kuala Lumpur, washindi walitangazwa katika sherehe iliyotangazwa Jumamosi usiku.

Katika kitengo cha wanaume kategoria ya qiraa, mwakilishi wa Malaysia alichukua nafasi ya kwanza akifuatiwa na wawkilishi wa Brunei, Indonesia, Iran na Ufilipino kwa taratibu.

Katika kitengo cha wanaume kategoria ya kuhifadhi Qur'ani kikamilifu, hafidh wa Misri alichukua nafasi ya kwanza akifuatiwa na wawakilishi wa Malaysia na Marekani kwa taratibu katika kitengo cha wanaume.

Katika kitengo cha wanawake cha kategoria ya qiraa, mwakilishi wa Malaysia alichukua nafasi ya kwanza akifuatiwa na wawakilishi wa Brunei, Morocco kwa taratibu. Aidha katika kitengo cha wanawake cha kategoria ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu washindi walikuwa wawakilishi wa Misri, Malaysia na Lebanon kwa taratibu.

Jopo la majaji katika mashindano hayo walikuwa ni wataalamu wa Qur'ani kutoka Lebanon,Qatar, Brunei, Saudi Arabia, Jordan, Indonesia, Misri, Thailand na Malaysia.

Mashindano ya 58 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia mwaka hii yanafanyika chini ya kualimbiu ya "Kongamano la Kimataifa la Qiraa na Hifdhi ya Qur'ani Tukufu."

Mashindano hayo yaliwaleta pamoja washiriki 120 kutoka nchi 69 duniani.

3459740

Kishikizo: malaysia
captcha