iqna

IQNA

albania
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /12
TEHRAN (IQNA) – Shughuli za kutarjumi Qur'ani Tukufu imeshuhudia maendeleo makubwa katika eneo la Balkan katika miongo ya hivi karibuni.
Habari ID: 3476273    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/11
TEHRAN (IQNA) - Fathi Mahdiyu ni msomi ambaye ametafsiri Kurani nzima kwa Ki albania huko Kosovo. Katika kitabu chake cha hivi punde zaidi ambacho kimetafsiriwa na kuchapishwa kwa Kiarabu hivi karibuni, anazungumzia mwenendo wa tafsiri ya Qur'ani katika nchi za Balkan.
Habari ID: 3476263    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17