iqna

IQNA

ISBO
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu ( ISBO ) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14