iqna

IQNA

diab
TEHRAN (IQNA)- Saada Hariri ambaye alikuwa na jukumu la kuunda serikali mpya ya Lebanon akiwa waziri mkuu kuunda serikali ameshindwa kufanya hivyo na sasa amejiuzulu.
Habari ID: 3474102    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15