Idadi ya nakala za Qur'ani Tukufu zilizouzwa nchini Ufaransa baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga ofisi za jarida la kila wiki la Charlie Hebdo lililochapisha vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
2015 Feb 04 , 16:58
Mahafidhi 60 wa Qur'ani Tukufu, wanawake kwa wanaume, wameenziwa katika mkoa wa Qena ulioko kusini mwa Misri.
2015 Feb 03 , 12:29
TEHRAN (IQNA)-Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani bunge la Iran Ali Larijani amesisitiza kuhusu umoja wa Waislamu na kuongeza kuwa tafauti miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu si kubwa na kwamba maadui wanatumia tafauti ndogo zilizopo kuibua migogoro miongoni mwa Waislamu.
2015 Jan 05 , 11:26
TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh
2671946
2015 Jan 05 , 11:06
Mwanaharakati wa Qur'ani kutoka nchini Iraq ameashiria Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu na kusema mashindano hayo ni fursa muafaka kwa washiriki kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu Qur'ani Tukufu.
2015 Jan 01 , 12:49
Tehran (IQNA)- Kongamano la kimataifa lenye anuani ya “Umoja wa Kimataifa Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Hadithi” linatazamiwa kufanyika Tehran, Ijumaa tarehe pili Januari.
2014 Dec 25 , 10:51
Mashindano ya Qur'ani makhsusi kwa ajili ya Waislamu wapya yamepangwa kufanyika tarehe 30 Novemba katika mji mkuu wa Brunei, Bandar Seri Begawan.
2014 Nov 15 , 20:39
Duru ya 36 ya Mashindano ya Kimatiafa ya Hifdhi, Qiraa na Tafsiri ya Qur’ani Tukufu yameanza leo Novemba 15 katika Msikitu Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) , Saudi Arabia.
2014 Nov 15 , 16:53
Ajuza mwenye umri wa miaka 70 amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani nzima baada ya juhudi kubwa za miaka 15.
2014 Oct 14 , 20:35
Mashindano ya Qur’ani yamefanyika nchini Rwanda chini ya himya ya Jumuiya ya Waislamu nchini humo.
2014 Sep 30 , 22:59
Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Qur'ani ya kimataifa nchini Russia.
2014 Sep 21 , 11:38
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yaliyowashirikisha mahafidh 1800 wa Qur'ani Tukufu yamefanyika katika mji wa Islamabad nchini Pakistan.
2014 Sep 21 , 11:31
Wawakilishi wa Misri na Morocco wametia saini makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya kidini ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzefu katika sekta ya uchapishaji na usambazaji wa nakala za Qur’ani Tukufu.
2014 Sep 15 , 20:05