Wawakilishi wa Misri na Morocco wametia saini makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya kidini ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzefu katika sekta ya uchapishaji na usambazaji wa nakala za Qur’ani Tukufu.
2014 Sep 15 , 20:05
Mtangazaji wa kanali ya televisheni ya CBC ya Misri ametoa matamshi machafu na ya dharau akidai kuwa ni upuuzi kufundisha muujiza wa Qur'ani na Suna za Mtume katika shule za nchi hiyo.
2014 Sep 08 , 16:02
Mtaalamu mwashuhuri wa Qur'ani kutoka Misri amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni hatua muhimu katika umoja wa Kiislamu.
2014 Aug 24 , 10:34
Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Uingereza yamepangwa kufanyika mwezi ujao nchini humo yakiwashirikisha vijana wa Kiislamu.
2014 Aug 17 , 11:03
Katika siku ya tano ya ‘Wiki ya Qur’ani kwa Himaya ya Iran’ , hafidh na qarii wa Qur’ani kutoka Iran wamesomba mbele ya mjumuiko wa mabalozi wa nchi za Kiislamu huko nchini Uganda.
2014 Jul 26 , 21:50
‘Wiki ya Qur’ani kwa Hisani ya Iran’ imeandaliwa nchini Uganda kwa himaya ya Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda.
2014 Jul 23 , 21:42
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo wanayokumbana nayo Waislamu hivi sasa ni matokeo ya kutoyazingatia mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
2014 Jul 13 , 07:46
Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
2014 Jul 06 , 16:28
Maonyesho ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu yalianza jana katika makao makuu ya Jumuiya ya Kiislamu ya Jamhuri ya Congo kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2014 Jul 06 , 16:23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ugeni wa Allah Karima ambao pia ni machipuo ya Qur'ani, idadi ya wasomaji bora wa tajwidi, maustadhi na mahafidhi wa Kitabu cha Allah SWT, jana mjini Tehran walishiriki katika kikao na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwenye mahafali ya kufungamana na Qur'ani.
2014 Jun 30 , 18:28
Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamefungua milango yake kwa watazamaji leo Jumatano hapa mjini Tehran.
2014 Jun 25 , 20:02
Waziri wa Masuala ya Kidini na Wakfu wa Algeria ametangaza kuwa nchi 43 zitashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yaliyopangwa kufanyika nchini humo.
2014 Jun 25 , 19:55
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: kushikamana na Qur'ani ni jambo ambalo litauletea Umma wa Kiislamu mafanikio na heshima.
2014 Jun 03 , 19:38