Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
2015 May 18 , 07:37
Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Ijumaa jioni kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hapa mjini Tehran.
2015 May 16 , 13:13
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefungua rasmi awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran na kusema hivi sasa jamii za Kiislamu zinapaswa kutekeleza mafundisho ya Qur’ani kikamilifu.
2015 May 16 , 13:01
Wawakilishi kutoka nchi 75 watashiriki katika awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 May 14 , 10:54
Wataalamu 22 wa Qur’ani Tukufu wameteuliwa katika jopo la majaji wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 May 12 , 18:09
Nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani imeandikwa katika mji mtakatifu wa Mash'had kaskazini maashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 May 05 , 15:32
Zaidi ya nchi 62 zimethibitisha kushiriki katika awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2015 Apr 21 , 15:43
Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanatazamiwa kuanza katika mji mkuu Tehran mnamo 27 Rajab sawa na Mei 15.
2015 Apr 16 , 18:37
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itashiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia
Mashindano hayo yanatazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
2015 Apr 15 , 11:21
Tehran (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtunuku zawadi msichana Muirani mwenye umri wa miaka 8 aliyehifadhi kikamilifu Qur'ani Tukufu.
2015 Mar 15 , 06:57
Misri itakuwa mwenyeji wa mashindano mawili ya kimataifa ya Qur’ani katika miezi michache ijayo.
2015 Mar 12 , 10:28
Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
2015 Feb 19 , 18:00
Idadi ya nakala za Qur'ani Tukufu zilizouzwa nchini Ufaransa baada ya mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga ofisi za jarida la kila wiki la Charlie Hebdo lililochapisha vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) imeongezeka kwa kiasi kikubwa.
2015 Feb 04 , 16:58