IQNA

Kituo cha Maalum cha Haram ya Hadhrat Abbas chamaliza kuhesabu hati adimu 2,000

Kituo cha Maalum cha Haram ya Hadhrat Abbas chamaliza kuhesabu hati adimu 2,000

IQNA – Idara ya Masuala ya Kiutamaduni na Kielimu ya Haram ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imetangaza kukamilika kwa zoezi la kuorodhesha hati 2,000 adimu zilizohifadhiwa katika maktaba yake.
17:11 , 2025 May 02
Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu: Ramani ya Njia ya Umoja wa Kiislamu

Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu: Ramani ya Njia ya Umoja wa Kiislamu

IQNA – Mtaalamu wa masuala ya kimataifa ameuelezea mpango wa kuanzishwa kwa bunge la Qurani la ulimwengu wa Kiislamu kama ramani ya njia kwa Ummah wa Kiislamu kuelekea umoja.
17:04 , 2025 May 02
Mwanafunzi Mpalestina ambaye ni mkosoaji wa vita vya Israel dhidi ya Gaza aachiliwa huru Marekani

Mwanafunzi Mpalestina ambaye ni mkosoaji wa vita vya Israel dhidi ya Gaza aachiliwa huru Marekani

IQNA – Mohsen Mahdawi, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchini Marekani aliyekamatwa kwa kushiriki maandamano kupinga vita vya Israel dhidi ya Gaza, ameachiwa huru kutoka kizuizini.
16:47 , 2025 May 02
Waandishi habari wa Italia wapongeza huduma katika Haram ya Imam Hussein (AS)

Waandishi habari wa Italia wapongeza huduma katika Haram ya Imam Hussein (AS)

IQNA – Ujumbe wa ngazi ya juu wa vyombo vya habari kutoka Italia, uliotembelea taasisi kadhaa chini ya Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS), huko Karbala, Iraq umesifu huduma za kisasa zinazotolewa na idara hiyo katika nyanja mbalimbali, hasa afya na elimu.
16:26 , 2025 May 02
Mvulana wa Misri asiokuwa na macho wala pua amehifadhi Qur’ani

Mvulana wa Misri asiokuwa na macho wala pua amehifadhi Qur’ani

IQNA – Mtoto wa Misri aliyezaliwa bila pua na macho amefanikiwa kuhifadhi Qur’an Tukufu kikamilifu Muhammad, ambaye ana umri wa miaka 11, pia ana kipaji cha kipekee katika kusoma Qur’ani kwa kuiga mitindo ya maqari mashuhuri.
17:42 , 2025 May 01
17