iqna

IQNA

mkutano
Uchumi Halal
ISTANBUL (IQNA) - Mamia ya makampuni na mashirika yanayoongoza kutoka nchi 40 yanashiriki katika Mkutano wa Halal wa Dunia na Maonyesho ya Halal ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), ambayo yalifunguliwa Alhamisi huko Istanbul, ili kuonyesha bidhaa na huduma zao katika soko la halal la kimataifa, lenye thamani ya zaidi ya dola trilioni 7.
Habari ID: 3477940    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Waislamu wa Madhehebu ya Shia
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS ulimalizika hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3475731    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limemalizika Jumamosi mjini Tehran baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano. Mkutano huo umefanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW au Maulid.
Habari ID: 3474465    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametilia mkazo udharura wa kuundwa kituo maalumu cha za Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na maafa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473312    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31

Habari ID: 3470505    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Rais Rouhani wa Iran
Duru ya 29 ya mkutano wa Umoja wa Kiislamu imeanza leo hapa mjini Tehran kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye amesisitiza kuhusu ulazima wa Waislamu kuungana.
Habari ID: 3469883    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Rais Hassan Rouhani wa Iran
Rais Rouhani amesisitiza kuwa, njia pekee ya kukabiliana na changamoto hizo ni kurejea kwenye umoja wa Waislamu duniani na kujitenga na mirengo iliyopotoka.
Habari ID: 3344480    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15

Kongamano la 11 la Kimataifa la Itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) limeanza Jumapili hii hapa mjini Tehran na kushirikisha pamoja shakhsia mbalimbali wa ndani na nje ya Iran
Habari ID: 3309948    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/01

Tehran (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtunuku zawadi msichana Muirani mwenye umri wa miaka 8 aliyehifadhi kikamilifu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 2985092    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/15

Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ghaza, Nembo ya Muqawama (mapambano)” lilifanyika hapa Tehran siku ya Jumapili kwa minajili ya kukumbuka na kuadhimisha siku ya ushindi mkubwa wa wanamapambano wa Palestina katika vita vya siku 22 vya Ghaza vilivyoanza mwishoni mwa mwaka 2008 na kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2009.
Habari ID: 2728172    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/19

Mkutano wa 28 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu na maulamaa wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2684304    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/07