iqna

IQNA

USSR
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR ) alifariki dunia Agosti 30 2022 katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Habari ID: 3475719    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02