iqna

IQNA

Shahriyari
Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Madhehebu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza kuwa kulinda uthabiti, usalama, uhuru kujitawala na amani ya nchi za Kiislamu ni jukumu la Waislamu wote na akabainisha kwamba, ikiwa nchi isiyo ya Kiislamu itataka kuzivamia nchi za Kiislamu na kupora sehemu ya ardhi yake na utajiri wake, ni jukumu la kila mtu kusimama ili kuihami na kulinda ardhi hiyo.
Habari ID: 3475448    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu Kiislamu (WFPIST) ametoa wito kwa viongozi wa India na viongozi wa kitamaduni, kisiasa, wasomi na vyombo vya habari kusaidia kulinda haki za Waislamu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3474987    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/28

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano wa Waislamu ndiyo silaha pekee inayoweza kutumiwa kwa ajili ya kupambana na njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474733    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

Hujjatul Islam Shahriyari
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Shahriari amesema itikadi ya Ukufurishaji ni kati ya njama za mabeberu na Wazayuni dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474640    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema, uhusiano na ushirikiano imara baina ya Chuo cha Kidini cha Qum na cha Al Azhar cha Misri unaweza kuwa na matokeo chanya na yenye faida kwa Waislamu duniani katika kupambana na ukufurishaji na misimamo ya kufurutu mpaka.
Habari ID: 3474107    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ametilia mkazo udharura wa kuundwa kituo maalumu cha za Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na maafa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473312    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika kwa njia ya intaneti na kujadili ushirikiano wakati wa maafa kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3 kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3473231    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Hujjatul Islam Hamid Shahriyari kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3472280    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/15