Wajumbe wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani wameamua kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika jimbo la Arizona ili kupambana na vitendo vya kueneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu ya Mwenyezi Mungu.
2015 May 29 , 22:57
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema misimamo ya nyuklia ya Iran ni ile ile iliyotangazwa mara kadhaa hadharani.
2015 May 28 , 14:10
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesikitishwa sana kuhusu kuakhrishwa mkutano wa mazungumzo ya amani Yemen.
2015 May 27 , 14:52
Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria kwa kuuunga mkono muqawama katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
2015 May 25 , 13:50
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani limeahidi kupeleka misaada ya Iran nchini Yemen. Meli ya Iran ilikuwa ipeleke misaada ya kibinadamu moja kwa nchini Yemen lakini ikashindwa kufanya hivyo kutokana na kuendelea hujuma za katika Bandari ya Hudaydah.
2015 May 24 , 10:36
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu umuhimu wa kuokoa maisha ya wakimbizi wa Myanmar walioachwa baharini kusini mashariki mwa Asia.
2015 May 24 , 09:45
Utawala haramu wa Israel unapanga kuipatia Saudi Arabia msaada mkubwa wa makombora ili kufanikisha vita vyake dhidi ya watu wa Yemen.
2015 May 24 , 09:43
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, tiba ya matatizo ya leo yaliyoko katika ulimwengu wa Kiislamu ni kusalimu amri mbele ya maamrisho ya Qur’ani Tukufu na kutosalimu amri mbele ya utwishaji mambo wa ujahili wa kisasa (mamboleo) na kusimama kidete mbele ya ubeberu na utumiaji mabavu wa ujahili huo.
2015 May 23 , 21:42
Jamii ya kimataifa inaendelea kulaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia.
2015 May 23 , 15:04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran kamwe haitoruhusu kukaguliwa vituo vyake vya kijeshi.
2015 May 21 , 14:08
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea wasiwasi wake kuhusu hatma ya wakimbizi na wahamiaji, wengi wao Waislamu wa kabila la Rohingya kutoka Myanmar, walioachwa kwenye Bahari ya Andaman na Lango la Malakka, kati ya Myanmar, Thailand na Malaysia.
2015 May 19 , 19:31
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Kimataifa Ali Akbar Velayati amekutana na kiongozi wa Hizbullah ya Lebanon mjini Beirut na Rais Bashar al Assad wa Syria mjini Damascus.
2015 May 19 , 19:27
Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani hukumu ya kifo dhidi ya rais wa zamani wa Misri Mohammad Morsi na kusema kesi hiyo haikuzingatia taratibu za mahakama.
2015 May 17 , 10:53