Makumi ya watu wameuawa katika mwendelezo wa mashambulizi ya kichokozi ya Saudi Arabia na waitifaki wake nchini Yemen.
2015 Jun 12 , 14:14
Hata baada ya kupita miezi kadhaa ya kusonga mbele kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika medani za vita kwenye nchi za Kiislamu, Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa serikali ya Washington bado haina stratijia kamili ya kukabiliana na kundi hilo.
2015 Jun 11 , 13:39
Katika hatua ya kushangaza, Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekataa kuuoredhesha utawala haramu wa Israel na ambao unaendelea kuua watoto wa Ukanda wa Gaza, katika orodha ya tawala zinazovunja haki za watoto duniani.
2015 Jun 10 , 12:24
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekataa kuuweka utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya makundi na watu wanaowaua watoto kiholela duniani.
2015 Jun 09 , 14:00
Idara ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa imebainisha wasi wasi wake kuhusu kuteswa wafungwa katika magereza nchini Bahrain na kwa mara nyingine kuwataka wakuu wa nchi hiyo wamuachilie huru mara moja kiongozi wa upinzani Sheikh Ali Salman.
2015 Jun 08 , 17:31
Jeshi la Utawala haramu wa Israel limewaua watoto wapatao 980 katika hujuma zake za hivi karibuni katika Ukanda wa Ghaza.
2015 Jun 07 , 00:18
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah ameuonya vikali utawala wa Israel kuhusu hujuma dhidi ya Lebanon.
2015 Jun 06 , 10:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kujilipua mjini Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 60.
2015 Jun 03 , 22:46
Msomi wa chuo kikuu nchini Senegal ametoa hotuba kali mbele ya balozi wa Saudi nchini humo ambapo ameukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa sera zake za undumakuwili na unafiki hasa uungaji mkono wake wa ugaidi na jinai dhidi ya watu wa Yemen.
2015 Jun 01 , 10:33
Kongamano la 11 la Kimataifa la Itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) limeanza Jumapili hii hapa mjini Tehran na kushirikisha pamoja shakhsia mbalimbali wa ndani na nje ya Iran
2015 Jun 01 , 10:08
Waislamu 26 wamepoteza maisha baada ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram kulipua bomu ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
2015 May 31 , 12:18
Huku mashambulio makali ya ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya Yemen yakiwa yanaingia katika mwezi wake wa tatu, maelfu ya raia wa nchi hiyo wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku miundombinu ya nchi hiyo ikiharibiwa kabisa.
2015 May 30 , 16:38
Wajumbe wa Baraza la Uhusiano wa Kiislamu Marekani wameamua kuitisha mkutano na waandishi wa habari katika jimbo la Arizona ili kupambana na vitendo vya kueneza chuki dhidi ya dini hiyo tukufu ya Mwenyezi Mungu.
2015 May 29 , 22:57