Muungano wa Waislamu wa Canada na Kituo cha Habari cha Kiislamu vitafanya mashindano ya 10 ya Qur'ani katika jimbo la British Columbia nchini Canada.
2011 Feb 16 , 17:21
Duru ya 11 ya mashindano ya Qur'ani Tukufu ya tuzo ya Ra'sul Kheimah katika umoja wa Falme za Kiarabu ilianza jana Jumanne tarehe 15 na inatazamiwa kumalizika tarehe 24 Februari.
2011 Feb 16 , 15:51
Duru ya 11 ya masomo ya Qur'ani Tukufu kwa vijana wadogo walio na umri wa zaidi ya miaka 10 itaanza Jumapili ya tarehe 20 Februari katika mji wa Khuweilidiya katika mkoa wa Qatif, mashariki mwa Saudi Arabia.
2011 Feb 15 , 16:36
Hassan Muhammadi ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Taasisi za Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 Feb 15 , 16:25
Juzuu ya tisa ya Insaiklopidia ya Qur'ani Tukufu iko katika hatua za mwisho kabla ya kuchapishwa na Taasisi ya Firkra za Qur'ani na Utamaduni nchini Iran.
2011 Feb 15 , 16:19
Wasanii bora wa kaligrafia ya Qur'ani kutoka ulimwengu wa Kiislamu wamewasilisha kazi 300 za sanaa hiyo katika kamati inayoshughulikia kongamano la wasanii hao litakalofanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
2011 Feb 14 , 17:37
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameanza Februari 14 mjini Tehran.
2011 Feb 14 , 17:09
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa kongamano lenye anwani ya "Sera za Kigeni kwa Mtazamo wa Qur'ani".
2011 Feb 14 , 16:34
Mufti wa Jumuiya ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Kuwait amesema kuwa njia pekee ya kumuokoa na kumfikisha mwanadamu kwenye ufanisi ni kutumia Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad (saw).
2011 Feb 13 , 17:28
Taasisi ya mafunzo ya Qur'ani na kidini itazinduliwa hivi karibuni katika eneo la as-Swadiq katika mkoa wa Lahaj nchini Yemen.
2011 Feb 10 , 12:46
Mkuu wa Idara ya Wakfu ya mji wa Tulkaram nchini Palestina ametangaza kuanza usajili wa majina ya washiriki wa mashindano ya Qur'ani kwa lengo la kuchagua sauti bora na ya kuvutia zaidi ya usomaji Qur'ani katika mji huo.
2011 Feb 09 , 10:58
Masomo ya Qur'ani Tukufu kwa watoto wa mkoa wa Qatif nchini Saudi Arabia yamepangwa kuanza kesho Alkhamisi tarehe 10 Februari katika Kituo cha Qur'ani cha Umm al-Humam.
2011 Feb 09 , 10:54
Duru ya sita ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu kwa wanajeshi ipepangwa kufanyika hivi karibuni nchini Saudi Arabia katika mji mtakatifu wa Makka.
2011 Feb 08 , 14:22