Duru ya sita ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu kwa wanajeshi ipepangwa kufanyika hivi karibuni nchini Saudi Arabia katika mji mtakatifu wa Makka.
2011 Feb 08 , 14:22
Gavana wa jimbo la Bauchi nchini Nigeria amewasaili wakuu wa mabaraza ya miji minne ya jimbo hilo baada ya wawakilishi wao kushindwa kushiriki katika mashindano ya 25 ya Qur'ani jimboni humo.
2011 Feb 07 , 17:22
Taasisi ya Qur'ani ya Dauhatul Qur'ani ya mji wa Saihat nchini Saudi Arabia imetangaza habari ya kuanzishwa hivi karibuni mafundisho ya Qur'ani kwa wanawake wa Kishia nchini humo.
2011 Feb 07 , 14:07
Taasisi ya Masuala ya Kheri na Masomo ya Qur'ani cha Qatar imefungua kituo kipya cha masomo hayo kwa jina la Taj al-Wiqar katika eneo la Abu Mahur mjini Doha ikiwa ni katika juhudi zake za kueneza vituo vya hifdhi ya Qura'ni nchini humo.
2011 Feb 07 , 14:01
Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Morocco maarufu kwa Zawadi ya Mfalme Muhammad wa 6 yalianza jana Jumamosi nchini humo. Mashindano hayo yatakayoendelea hadi kesho Jumatatu yanawakutanisha pamoja washindani kutoka nchi 33 za Kiarabu na Kiislamu.
2011 Feb 07 , 01:27
Taasisi ya Qur'ani ya mjini Kadhimein nchini Iraq imepanga kuandaa masomo ya kuvutia ya sheria za kiraa na tajwidi ya Qur'ani Tukufu.
2011 Feb 06 , 16:30
Kituo cha mafunzo ya hifdhi ya Qur'ani cha Swalih bin Abdul Aziz ar-Rajihi kimefunguliwa katika viwango vya msingi na sekondari katika mji wa al-Bikiriya.
2011 Feb 06 , 16:24
Mashindano ya kitaifa ya 25 ya Qur'ani Tukufu ya Nigeria yamepangwa kufanyika tarehe 11 Februari katika jimbo la Jigawa.
2011 Feb 05 , 18:48
Vikao 400 vya Qur'ani Tukufu vinafanyika kote Iran katika sherehe za Alfajiri 10 za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
2011 Feb 05 , 13:44
Mashindano ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la Itqan yamepangwa kufanyika tarehe 14 hadi 17 Februari huko katika mji wa Kharaj nchini Saudi Arabia.
2011 Feb 05 , 13:34
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Kuwait imetangaza habari ya kuachiliwa huru wafungwa waliohifadhi Qur'ani Tukufu.
2011 Feb 05 , 13:32
Duru ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu ambayo yalianza tarehe 25 Januari huko Bamako mji mkuu wa Mali yalimalizika siku ya Alkhamisi tarehe Februari 3.
2011 Feb 05 , 13:28
Qari kutoka Tanzania aliyeshiriki katika Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qurani ya Wanachuo waislamu amesema kiwango cha mashindano kilikuwa cha kuridhisha na ametoa wito kwa waandalizi kuongeza idadi ya washiriki.
2011 Feb 03 , 13:49