Kuandaa mazingira mazuri katika jamii ni sharti la kufikiwa afya kwa mujibu wa Qurani Tukufu.
2011 Mar 10 , 17:58
Mkuu wa Masuala ya Elimu na Utamaduni Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu ICRO amesema kutarjumiwa Qurani kwa lugha mbali mbali kuna nafasi muhimu katika kukabiliana na propaganda dhidi ya Uislamu za nchi za Magharibi.
2011 Mar 10 , 17:57
"Tarjumi ndio mbinu bora zaidi ya kueneza ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mapinduzi ya Kiislamu duniani", amesema Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu ICRO.
2011 Mar 10 , 13:07
Qur'ani Tukufu itatarjumiwa hivi karibuni kwa lugha ya ishara nchini Marekani ili kuwawezesha viziwi kunufaika na mafundisho ya kitabu hicho kitakatifu.
2011 Mar 10 , 13:04
Duru ya sita ya mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani ya wanajeshi itaanza Ijumaa ijayo katika mji mtakatifu wa Makka.
2011 Mar 08 , 22:30
Kongamano la kielimu la Muujiza wa Qur'ani Tukufu, Sayansi na Elimu nafsi lilifanyika jana katika Chuo Kikuu cha Karbala.
2011 Mar 08 , 22:19
Mwamko katika Mashariki ya Kati umepelekea eneo hili kuwa uga mpya wa kufikia malengo ya juu ya Qur'ani na Uislamu.
2011 Mar 08 , 14:19
Duru ya kumi ya mahfali ya kufarijika na Qur'ani Tukufu ilifanyika siku ya Jumapili tarahe 6 huko katika Ukanda wa Gaza.
2011 Mar 08 , 14:15
Utekelezwaji sahihi wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu pamoja na ya Mtume (saw) ni njia bora zaidi ya kutatua matatizo mengi yanayoikabili jamii ya Kiislamu, yakiwemo ya umasikini, ughali wa maisha, hongo na ufisadi.
2011 Mar 08 , 13:53
Kikao kuhusu mafundisho ya Qur'ani Tukufu kitafanyika nchini Kuwait kuanzia Machi 28-30, ametangaza mkuu wa masuala ya Qur'ani na Taaluma za Kiislamu katika Wizara ya Awqaf nchini Kuwait.
2011 Mar 07 , 15:45
Tarjumi mpya kabisa ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kihispania itazinduliwa Machi 8 katika Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu ICRO.
2011 Mar 07 , 15:42
Duru ya 7 ya mashindano ya Qur'ani Tukufu inatazamiwa kuanza hivi karibuni katika mji wa Kansas City nchini Marekani.
2011 Mar 07 , 15:03
Walimu wa vituo na taasisi za Qur'ani kutoka miji tofauti ya Iraq wamekutana katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya kujadili njia za kutatua matatizo yaliyopo kuhusiana na njia za kufundisha kitabu hicho kitakatifu.
2011 Mar 06 , 18:25