Rahman Malik, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Pakistan ameiandikia barua polisi ya kimataifa ya Interpol akiitaka ifuatile kwa karibu wahalifu waliohusika na uchomaji Qur'ani Tukufu huko katika jimbi la Florida nchini Marekani.
2011 Mar 29 , 10:47
Kamati inayoandaa duru ya tano ya mashindano ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la 'usomaji bora wa Qur'ani Tukufu' katika mwaka huu wa 2011 imeanza kuandikisha majina ya watu walio na hamu ya kushiriki katika mashindano hayo.
2011 Mar 16 , 19:56
Mashindano ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa ajili ya watoto wadogo yataanza tarehe 19 Machi na kuendelewa kwa siku tatu.
2011 Mar 16 , 17:00
Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni ISESCO limechapisha tarjumi mpya ya Juzuu Amma (Juzuu ya 30 ya Qur'ani Tukufu) kwa lugha za Kiswahili na Kifulani.
2011 Mar 16 , 13:12
Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza mpango wa kutayarisha orodha ya misahafu za kale 1100.
2011 Mar 16 , 13:11
Maqari wa Qur'ani kutoka Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshindwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Majeshi ya Nchi za Kiislamu huko Saudi Arabia baada ya kunyimwa visa.
2011 Mar 15 , 09:10
Duru ya tano ya mafunzo ya majaji wa Qur'ani Tukufu yatafanyika kandokando ya mashindano ya Taifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia.
2011 Mar 13 , 15:19
Mafunzo ya muda ya Qur'ani Tukufu yatafanyika kuanzia tarehe 3 Juni hadi Julai Mosi katika Taasisi ya Kiislamu ya Texas nchini Marekani.
2011 Mar 13 , 14:51
Qari wa ngazi za juu wa Kisuni Abdul Rauf Changi Zehi katika mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran ametembelewa na ujumba wa Baraza Kuu la Qur'ani nchini.
2011 Mar 13 , 13:52
Mashindano ya Qur'ani ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Azad yatafanyika kote nchini Iran kuanzia Machi 15.
2011 Mar 13 , 13:48
Duru ya sita ya mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanajeshi yameanza leo Ijumma huko katika mji mtakatifu wa Mkaka nchini Saudi Arabia. Mashindano hayo yatasimamiwa na Sultan bin Abdul Aziz, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo.
2011 Mar 12 , 16:29
Mwanafunzi wa shule moja nchini Syria amefanikiwa kuhifadhi Qurani nzima kwa muda wa siku 75.
2011 Mar 12 , 16:27
Kuandaa mazingira mazuri katika jamii ni sharti la kufikiwa afya kwa mujibu wa Qurani Tukufu.
2011 Mar 10 , 17:58