Tokea kuanzishwa kwake mwaka 2000, Kituo cha Qurani cha Imam Ali AS nchini Iran kimewasaidia watu zaidi ya milioni 4 kujifundisha Qurani kwa masomo ya njia ya mbali (distance learning).
2011 Apr 13 , 10:28
Warsha ya kwanza kuhusu tarjuma ya Kiingereza ya Qurani Tukufu na misingi yake imeanza Aprili 12 katika Chuo Kikuu cha mji mtakatifu wa Qum Jamhuri yha Kiislamu Iran.
2011 Apr 13 , 10:27
Kikao cha kielimu cha ‘Vijana na Ulimwengu wa Kiislamu’ kimepangwa kufanyika hapa Tehran chini ya usimamizi wa Idara ya Utamaduni ya Chuo Kikuu cha Madhehebu ya Kiislamu.
2011 Apr 13 , 10:26
Duru ya mwisho ya mashindano ya 21 ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la Sultan Qabus itafanyika mjini Muscat Oman hapo tarehe 23 Aprili.
2011 Apr 12 , 12:01
Sheikh Muhammad Hussein, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mamufti ambaye pia ni Mufti Mkuu wa Palestina na Quds Tukufu amezuia kusambazwa kwa nuskha za Qur'ani Tukufu huko Palestina kutokana na makosa ya chapa yaliyomo humo.
2011 Apr 12 , 12:01
Mashindano ya kitaifa ya hifdhi, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani Tukufu yalianza siku ya Jumapili katika msikiti wa Ijumaa wa mji mkuu wa Mauritania Nouakchott.
2011 Apr 12 , 12:00
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepanga kuandaa vikao 1000 vya Qurani Tukufu wakati wa msimu wa joto mwaka 2011.
2011 Apr 12 , 11:55
Hatua ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu mahsusi kwa wasomaji na mahafidh wa Qur'ani kutoka bara la Afrika ilianza jana tarehe 10 Aprili huko Dakar mji mkuu wa Senegal.
2011 Apr 11 , 16:35
Duruy a kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Bara Afrika yameanza Aprili 10 katika mji mkuu wa Senegal Dakar.
2011 Apr 11 , 15:29
Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Zambia kimepanga kozi za kielimu kuhusu Qurani Tukufu maalumu kwa Waislamu Mashia.
2011 Apr 11 , 15:10
Hatua ya mwisho ya duru ya tano ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la Rashid al-Mualla, ambayo ni maalumu kwa wanafunzi wa shule za serikali na binafsi yamepangwa kufanyika tarehe Mosi Mei huko katika mji wa Umm al-Qiwein katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2011 Apr 10 , 12:12
Mashindano ya 14 ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la al-Maarij yamepangwa kufanyika mwezi Oktoba huko katika mji wa wakazi wengi wa Kishia wa Umm al-Humaam katika mkoa wa Qatif nchini Saudi Arabia.
2011 Apr 09 , 11:46
Kauli mbiu ya maonyesho ya 19 ya Qurani Tukufu ya Tehran imetangazwa kuwa ni ‘Qurani, Kitabu cha Mwamko wa Kiislamu’.
2011 Apr 06 , 15:37