Kikoa cha kimataifa cha 'Juhudi za Umma wa Kiislamu kwa ajili ya Kuhudumia Qur'ani Tukufu na Taaluma ya Qur'ani' kilianza jana Jumamosi tarehe 16 Aprili katika mji wa Fes nchini Morocco.
2011 Apr 17 , 17:02
Tamasha la Qur'ani Tukufu limefanyika mjini Baghdad Iraq kwa madhumuni ya kutetea Qur'ani Tukufu mbele ya dharau iliyofanywa hivi karibuni na Kasisi Teryy Jones wa jimbo la Florida nchini Marekani.
2011 Apr 17 , 17:01
Semina yenye anuani ya 'Mohammad SAW; Rehma kwa Walimwengu' imefanyika mjini Istanbul na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu wa Uturuki Rajab Tayeb Erdogan
2011 Apr 16 , 13:27
Binti mwenye umri wa miaka minane aliyehifadhi Qurani Tukufu kikamilifu nchini Afhgnistan ameenziwa katika bunge la nchi hiyo.
2011 Apr 16 , 13:26
Mashindano ya Kimataifa ya Qurani Tukufu maalumu kwa nchi za Afrika yamemalizika katika mji mkuu wa Senegal Dakar.
2011 Apr 16 , 12:49
Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya mwaka huu wa 2011 ambayo yameandaliwa na jumuiya pamoja na taasisi tofauti za Kiislamu za nchini Uholanzi yanaendelea katika miji tofauti ya nchi hiyo.
2011 Apr 16 , 12:12
Kikao cha tatu cha 'Muujiza wa Kielimu wa Qur'ani na Sunna za Mtume (saw)' ambacho kiliandaliwa na Idara ya Elimu na Malezi ya mji wa Arbad nchini Jordan kilifanyika hapo siku ya Alkhamisi.
2011 Apr 16 , 12:12
Semina ya Lulu ya Qur'ani imepangwa kufanyika katika mji wa Herndon katika jimbo la Virginia tokea tarehe 22 hadi 24 Aprili.
2011 Apr 14 , 12:53
Semina ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanawake imefanyika nchini Kuwait ambapo Fahd al-Kindi, Imam wa Msikiti Mkuu wa Kuwait amehutubu.
2011 Apr 13 , 17:44
Awamu ya pili ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi, tajwidi na usomaji Qur'ani yameanza leo Jumatano nchini Kuwait kwa kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka nchi 50.
2011 Apr 13 , 17:44
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi na usamoji Qura'ni yanaendelea nchini Senegal kwa kuhudhuriwa na nchi 28. Mashindano hayo yaliyoanza siku ya Jumatatu yanawashirikisha vijana wa umri wa kati ya miaka 12 hadi 20.
2011 Apr 13 , 17:43
Kongamano la Pili la Watumishi wa Qurani litafanyika Aprili 14 katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran mkoani Khorassan Razavi.
2011 Apr 13 , 10:29
Tokea kuanzishwa kwake mwaka 2000, Kituo cha Qurani cha Imam Ali AS nchini Iran kimewasaidia watu zaidi ya milioni 4 kujifundisha Qurani kwa masomo ya njia ya mbali (distance learning).
2011 Apr 13 , 10:28