Kikao cha Kimataifa cha Wanakaligrafia wa Qur'ani Duniani kitafanyika Aprili 26 katika mji wa Madina ambapo kijana mwenye umri wa miaka 13 kutoka Algeria, Mohammad Humam Al Shebl, ndiye mshiriki mwenye umri mdogo zaidi.
2011 Apr 25 , 17:06
Awamu ya kwanza ya mashindano ya nne ya kiraa bora zaidi ya tartili ya Qur'ani Tukufu yanaanza leo alasiri nchini Imarati kwa hima ya Kamati ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai.
2011 Apr 24 , 12:43
Mashindano ya 21 ya tajwidi na kuhifadhi Qur'ani Tukufu yalianza jana yakisimamiwa na kituo cha Kiutamaduni na Kiislamu cha Sultan Qaboos.
2011 Apr 24 , 12:42
Muungano wa Jumuiya za Kiislamu Ulaya umeandaa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
2011 Apr 23 , 13:00
Kuwa na Ikhlasi kumetajwa kuwa ni sharti la kwanza la kuhifadhi Qurani Tukufu.
2011 Apr 23 , 13:00
Wataalamu wa Qurani nchini Iran katika Wizara ya Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wamekutana katika mji Mtakatifu wa Mashhad kwa ajili ya duru ya 7 ya kikao chao.
2011 Apr 20 , 18:32
Waislamu duniani wanaendelea kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani kilichotekelezwa chini ya usimamizi kasisi Terry Jones wa Marekani.
2011 Apr 20 , 18:32
Washiriki zaidi ya 200 wanashindana katika Olimpiadi ya kwanza ya Qurani itakayoanza Aprili 26 katika mji wa Yazd kati mwa Iran.
2011 Apr 20 , 18:31
Kikao cha masuala ya Qur'ani kimefanyika mjini Doha mji mkuu wa Qatar kwa lengo la kuwaongoza Waislamu kuelekea umoja na mshikamano.
2011 Apr 20 , 11:14
Duru ya 16 ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanaume imepangwa kufanyika tarehe 4 Septemba.
2011 Apr 19 , 12:01
Nuskha 553,000 zisizo na kibali cha chapa kutoka kwa Jumuiya ya Utafiti wa Kiislamu ya al-Azhar zimekusanywa na Idara Kuu ya Uchunguzi wa Chapa na Uteteaji wa Haki Miliki ya Kimaanawi ya Wamiliki huko mjini Cairo.
2011 Apr 18 , 11:42
Duru ya 48 ya Mashindano ya kitaifa ya usomaji na hifdhi ya Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika tarehe Mosi hadi 4 Julai katika jimbo la Illinois nchini Marekani.
2011 Apr 18 , 11:41
Kikoa cha kimataifa cha 'Juhudi za Umma wa Kiislamu kwa ajili ya Kuhudumia Qur'ani Tukufu na Taaluma ya Qur'ani' kilianza jana Jumamosi tarehe 16 Aprili katika mji wa Fes nchini Morocco.
2011 Apr 17 , 17:02