Katibu wa Taasisi ya Misikiti Iran amesema kuna darsa 7000 za tafsiri ya Qur'ani ambazo hufanyika kila siku katika misikiti nchini Iran.
2011 May 02 , 17:40
Kikao maalumu cha kujadili 'Tarjumi za Kiingereza za Qur'ani' kitafanyika Mei Tatu katika Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa IQNA lenye makao yake mjini Tehran.
2011 May 02 , 15:27
Mashindano ya Nane ya Qur'ani ya wanawake wanaofanya kazi wa Vikosi vya Kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatafanyika Mei 3-4.
2011 May 01 , 14:20
Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran, imepitisha muswada wa kushurutisha serikali kutenga bajeti maalumu ya kustawisha shughuli za Qur'an katika kila taasisi ya serikali nchini Iran.
2011 May 01 , 14:18
Mamia ya wanafunzi wa shule za msingi nchini Indonesia wanachuana katika mashindano ya kusoma Qur'ani Tukufu yaliyoanza jana katika mkoa wa Java Mashariki.
2011 May 01 , 14:15
Semina ya siku moja kuhusu maeneo yaliyotajwa katika Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika Alkhamisi ijayo katika Chuo Kikuu cha Allamah Iqbal mjini Islamabad.
2011 Apr 30 , 19:44
Kutokana na juhudi za vijana wa Kiislamu wa mji wa Kerewan nchini Zambia mji huo ambao hivi karibuni iliandaa mashindano ya Qur'ani utapata kituo cha hifdhi ya Qur'ani Tukufu.
2011 Apr 28 , 13:29
Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu wa Iran amesema warsha ya tarjumi ya Qur'ani itafanyika katika Maonyesho ya 24 ya Vitabu ya Tehran.
2011 Apr 27 , 21:26
Mtengenezaji filamu wa Marekani Greg Barker ametengeneza filamu aliyoipa jina la "Koran by Heart" inayozungumzia kisa cha kushiriki watoto watatu katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Misri.
2011 Apr 27 , 18:17
Wizara ya Masuala ya Dini ya Indonesia imekanusha madai yaliyotolewa na Baraza la Wanajihadi wa Kiindonesia (MMI) kwamba kuna makosa katika zaidi ya nusu ya tarjumi za Qur'ani nchini humo.
2011 Apr 26 , 17:58
Sherehe za kuhitimishwa duru ya pili ya mashindano ya kitaifa ya shule za hifdhi ya Qur'ani zinafanyika leo Jumanne huko katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia.
2011 Apr 26 , 17:19
Olimpiadi ya Qur'ani Tukufu inaanza leo Aprili 26 katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Mafunzo ya Qur'ani Tukufu katika mkoa wa Yazd katikati mwa Iran.
2011 Apr 26 , 14:24
Kikao cha Kimataifa cha Wanakaligrafia wa Qur'ani Duniani kitafanyika Aprili 26 katika mji wa Madina ambapo kijana mwenye umri wa miaka 13 kutoka Algeria, Mohammad Humam Al Shebl, ndiye mshiriki mwenye umri mdogo zaidi.
2011 Apr 25 , 17:06