Chuo cha kwanza cha mafunzo ya kitaalamu ya usomaji Qur'ani Tukufu kimezinduliwa nchini Jordan kwa udhamini wa Chuo cha Kimataifa cha Taaluma ya Kiislamu.
2011 May 09 , 17:10
Makabila ya Iraq yanapanga kumfungulia mashtaka kasisi mwenye misimamo ya kupindukia mipaka wa Marekani Terry Jones kwa tuhuma za kufanya jinai ya kuchoma moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
2011 May 08 , 16:01
Allamah Mughnia, mfasiri wa kizazi cha vijana
Katika tafsiri yake iliyoandikwa kwa muhtasari lakini yenye faida tele, Allamah Muhammad Jawad Mughnia amebainisha masuala ya balagha na fasihi ya Qur'ani na kufichua muujiza wa aya za kitabu hicho, mbinu ambayo inashabihiana na ile iliyotumiwa na Allamah Zamakhshari katika tafsiri ya al Kashaf.
2011 May 08 , 16:00
Madrasa ya Qur'ani kwa jina la Dar al-Firdaous ilifunguliwa jana Jumamosi huko katika mji wa Thies nchini Senegal.
2011 May 08 , 15:57
Wizara ya Elimu ya Iran imesema inapanga idadi ya shule maalumu za Qur’ani nchini ifike 50 elfu.
2011 May 08 , 14:14
Msikiti wa Imam Sadeq AS Mei tisa utakuwa mwenyeji wa kongamano la wanaharakati na maqari wa Qur'ani mjini Tehran.
2011 May 08 , 14:08
Duru ya tano ya mafunzo ya majaji wa mashindano ya Qur'ani itaanza tarehe 7 Mei katika hoteli ya Qasr kwenye mji mkuu wa Saudi Arabia Riyadh chini ya usimamizi wa Wizara ya Wakfu na Masala ya Kiislamu.
2011 May 05 , 12:36
Waalimu 600 wa Qur'ani walio chini ya Taasisi ya Astan-e-Quds Razavi ya Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wataenziwa kutokana na juhudi zao zenye thamani.
2011 May 04 , 21:56
Kuna hatua tatu katika tarjumi ya Qur'ani, muhimu zaidi ikiwa ni mtarjumi kufahamu kikamilifu lugha asili ambayo ni Kiarabu.
2011 May 04 , 21:53
Mkuu wa Taasisi ya Wahyi na Hekima yenye makao yake nchini Iran ametoa wito wa kubuniwa taasisi ya kisayansi ya kuchunguza na kutathmini tarjumi za Qur'ani Tukufu.
2011 May 04 , 21:50
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani maalumu kwa wanachuo wa taaluma ya tiba wa Chuo Kikuu cha Mfalme Fahd yamepangwa kufanyika hivi karibuni katika chuo hicho.
2011 May 03 , 13:57
Waziri wa Elimu wa Iran amesema ustawi wa jamii unategemea ni kwa kiasi gani jamii inafuata mafundisho ya Qur'ani Tukufu na Sira ya Mtume SAW na Maimamu watoharifu katika kizazi chake AS.
2011 May 03 , 13:55
Katibu wa Taasisi ya Misikiti Iran amesema kuna darsa 7000 za tafsiri ya Qur'ani ambazo hufanyika kila siku katika misikiti nchini Iran.
2011 May 02 , 17:40