Kongamano la kwanza la 'Utafiti wa Qur'ani na afya litafanyika Isfahan nchini Iran Mei 18.
2011 May 17 , 19:24
Maqari bingwa wa Madrasa ya Dar-es-Salam katika mji wa Deoband nchini India walienziwa katika sherehe iliyofanyika jana Mei 16.
2011 May 17 , 19:10
Kituo cha Qur'ani cha Bibi Fatima (as) kimefunguliwa katika mkoa wa al Aqaba nchini Jordan kwa hima ya Jumuiya ya Kulinda Qur'ani Tukufu.
2011 May 16 , 19:22
Feroz Khan mtaalamu wa masuala ya kompyuta katika mji wa Srinagar huko Kashmir inayokaliwa na India amezindua kalamu ya kompyuta ambayo inaweza kusoma aya za Qur’ani Tukufu.
2011 May 15 , 13:41
Jumuiya ya Risarat ya Misri imetoa zawadi ya nakala 5275 za Qur'ani Tukufuu kwa nchi za Kiafrika za Niger, Ivory Coast na Afrika Kusini.
2011 May 15 , 13:38
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kiraa ya kuvutia zaidi ya tartili ya Qur'ani Tukufu inaanza leo ikisimamiwa na Taasisi ya Kimataifa ya Qur'ani, Tuzo ya Dubai.
2011 May 15 , 13:31
Mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi, kosoma, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani yalianza Jumanne ya wiki hii nchini Saudi Arabia yakiwashirikisha wasomaji 36.
2011 May 12 , 12:44
Taasisi ya utafiti ya kustawisha nadharia za Qur’ani imeanzishwa katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Mafunzo ya Qur’ani nchini Iran.
2011 May 12 , 12:16
Mshauri wa masuala ya Qur’ani katika Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa warsha zenye anwani ya ‘Uhusiano na Qur’ani’ zitafanyika katika sule 120,000 kote nchini.
2011 May 12 , 12:07
Washindi wa mashindano ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Oman walitunukiwa zawadi na kupongezwa katika sherehe maalumu iliyofanyika hapo siku ya Jumatatu.
2011 May 10 , 14:28
Tovuti ya Tazim-ul-Qur'an imezinduliwa katika mji mtakatifu wa Madina pembizoni mwa sherehe za kuwaenzi washindi wa mashindano ya Qur'ani yaliyofanyika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 May 10 , 14:18
Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa IQNA limeandaa kikao chenye anwani ya "Vyombo vya Habari na Qur'ani" ambacho kitafanyika katika makao ya IQNA mjini Tehran Jumanne Mei 10.
2011 May 09 , 17:17
Chuo cha kwanza cha mafunzo ya kitaalamu ya usomaji Qur'ani Tukufu kimezinduliwa nchini Jordan kwa udhamini wa Chuo cha Kimataifa cha Taaluma ya Kiislamu.
2011 May 09 , 17:10