Hoteli katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zinaweza kuweka Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiarabu na lugha nyinginezo katika vyumba maadamu misahafu hiyo inaheshimiwa.
2011 May 23 , 22:53
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya Chuo Kikuu cha al-Azhar yamepangwa kufanyika tarehe 19 hadi 25 Agosti huko London mji mkuu wa Uingereza.
2011 May 23 , 18:40
Askari wa utawala wa al Khalifa wanaoungwa mkono na watawala wa Saudi Arabia tangu kuanza kwa harakati ya mageuzi ya wananchi wamevunja misikiti na maeneo mengi ya ibada nchini Barhain na kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu, suala ambalo limejeruhi na kuumiza mno hisia za Waislamu.
2011 May 23 , 18:20
Mashindano ya taifa ya Qur'ani ya Malaysia yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 13 hadi 17 Juni katika mji wa Kuching kwenye jimbo la Sarawak nchini Malaysia.
2011 May 23 , 18:19
Jumuiya ya Mawakili wa mji wa Swabi nchin Pakistan wamefanya maandamano wakipinga kitendo kilichofanywa na wau wasiojulikana cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu na kuvunjiwa heshima kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
2011 May 22 , 10:37
Mashindano ya 28 ya Qur’ani Tukufu ya Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamemalizika tarehe 18 Mei katika sherehe zilizohudhuriwa na kamanda wa Jeshi la Polisi nchini Iran.
2011 May 21 , 16:55
Kikao cha pili kuhusu tarjumi za Qur'ani Tukufu kwa lugha nyinginezo kitafanyika leo Jumamosi Mei 21 katika makao makuu ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa mjini Tehran.
2011 May 21 , 12:44
Sheikh wa al-Azhar ameafiki pendekezo la kuongezwa bajeti ya mashindano ya kitaifa ya hifdhi ya Qur'ani nchini Misri.
2011 May 21 , 12:31
Viongozi wa makanisa ya Marekani wametangaza kuwa wataandaa vikao vya Qur'ani na vitabu vingine vya mbinguni katika makanisa ya nchi hiyo mwezi Juni kwa madhumuni ya kupambana na ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu na vilevile kuimarisha ushirikiano kati ya wafuasi wa dini tofauti.
2011 May 18 , 19:03
Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa Waislamu wanapaswa kukusanyika chini ya kivuli cha Qur’ani ili waweze kufikia umoja na mshikamano.
2011 May 18 , 15:09
Mashindano ya kosoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika miezi miwili ijayo katika mji wa Springfield katika jimbo la Massachusetts huko Marekani.
2011 May 18 , 15:03
Nakala ya Qur'ani Tukufu yenye umri wa miaka 900 ambayo iliandikwa katika karne ya 12Miladia imegunduliwa katika mji wa Jhelum nchini Pakistan.
2011 May 18 , 14:29
Kongamano la kwanza la 'Utafiti wa Qur'ani na afya litafanyika Isfahan nchini Iran Mei 18.
2011 May 17 , 19:24