Akademia ya Ahlulqur'an imetangaza kwamba imeanza kusajili majina ya washiriki katika mashindano ya 14 ya Qur'ani Tukufu katika jimbo la Florida huko Marekani.
2011 May 29 , 17:48
Kamati ya kudumu ya kutathmini walimu wa Qur'ani Tukufu itabuniwa hivi karibuni nchini Misri.
2011 May 29 , 17:48
Taasisi ya Uhakiki wa Kiislamu iliyochini ya Idara Kuu ya Uhakiki, Uandishi na Tarjumi ya al Azhar nchini Misri imepasishwa kuchapishwa msahafu wa Masjidul Aqsa katika eneo la Ukanda wa Gaza.
2011 May 28 , 19:41
Awamu ya pili ya kikao cha ‘Siku ya Qur’ani’ imefanyika leo katika mji wa Louga nchini Senegal.
2011 May 28 , 15:12
Kongamano la Kimataifa la Qur’ani Tukufu litafnayika nchini Kenya kwa ushirikiano wa Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kitengo cha Filosofia na Masomo ya Kidini katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
2011 May 28 , 11:16
Kikao cha kuchunguza siri za maumbile katika Qur'ani Tukufu kilianza Jumanne ya wiki hii katika kongamano la Miujiza ya Kisayansi ya Qur'ani huko Sharja, Umoja wa Falme za Kiarabu.
2011 May 26 , 12:51
Masomo ya hifdhi ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wa Qatar yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 5 mwezi Juni katika Kituo cha Hifdhi ya Qur'ani cha Maryam bin Imran kilichoko huko mjini Doha Qatar, na kuendelea kwa muda wa miezi mitatu.
2011 May 26 , 12:29
Duru ya tano ya masomo ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu katika msimu wa joto imepangwa kufanyika kuanzia tarehe 26 Juni hadi 18 Agosti mwaka huu katika misikiti tofauti ya Imarati.
2011 May 26 , 12:26
Maonyesho ya Nafasi ya Sanaa katika Qur’ani imepangwa kufanyika tarehe 3 hadi 7 Juni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
2011 May 26 , 11:25
Washindi wa kike wa mashindano ya Qur'ani Gambia wamekabidhiwa zawadi katika sherehe zilizofanyika katika Ikulu ya Rais katika mji mkuu wa nchi hiyo Banjul.
2011 May 25 , 17:47
Kongamano la Muujiza wa Qur’ani linafanyika leo katika mji wa Sharja nchini Imarati. Kongamano hilo litaendelea kwa kipindi cha siku nne.
2011 May 24 , 14:29
Waislamu wa Marekani wamepanga kuandaa mashindano ya Qur'ani tarehe 14 Agosti inayosadifiana na tarehe 14 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 May 24 , 14:16
Hoteli katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zinaweza kuweka Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiarabu na lugha nyinginezo katika vyumba maadamu misahafu hiyo inaheshimiwa.
2011 May 23 , 22:53