Shirika la Qatargas linafadhili warsha kadhaa katika fremu ya harakati za kitaifa za kuimarisha elimu katika vituo vya kujifunza Qur’ani kote nchini Qatar.
2011 Jun 01 , 16:01
Maduka makubwa ya Carrefour ya Ufaransa na Ubelgiji yamesimamisha uuzaji wa karatasi za shashi zinazovunjia heshima matukufu ya Kiislamu katika maduka hayo.
2011 May 31 , 20:41
Mwakilishi wa kudumu wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amemkosoa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu ya umoja huo kwa kufumbia macho vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Marekani.
2011 May 31 , 20:27
Washindi wa duru ya 13 ya mashindano ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia wataenziwa na kutunzwa tarehe 17 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 May 31 , 13:56
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto wa Misri walio na umri wa chini ya miaka minne yanaendelea katika mji wa Alexandria nchini humo.
2011 May 30 , 18:31
Kamati ya Mubarak al-Kabir ya Baraza la Mji wa Kuwait imekubali ombi la Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Kuwait la kutengwa ardhi kwa ajili ya kujengwa kituo cha uchapishaji Qur'ani Tukufu.
2011 May 30 , 18:28
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Britani (Britain) makhsusi kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu yamepanga kufanyika tarehe 17 hadi 19 Juni katika Chuo Kikuu cha Cardiff huko Wales.
2011 May 30 , 18:26
Idara ya Utamaduni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ujerumani imetangaza kuwa Kituo cha Utamaduni cha Ahlul Bayt AS kimefunguliwa mjini Berlin.
2011 May 30 , 10:58
Vituo 31 vya kutoa mafunzo kwa wataalamu bingwa wa Qur’ani Tukufu vitaanzishwa katika mikoa yote 31 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 May 30 , 10:10
Kila mtarjumi wa Qur’ani anapaswa kufahamu kikamilifu lugha ya Kiarabu ili aweze kupata maana halisi ya aya na kwa njia hiyo kuwasilisha tarjumi inayokubalika.
2011 May 30 , 09:43
Kituo cha Utamaduni cha Qur’ani mjini Tehran katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kinatoa kozi maalumu za sayansi za Qur’ani, amesema mkurugenzi wa kituo hicho Leyli Akbarpour.
2011 May 30 , 09:39
Albamu za CD za mashindano ya tartili bora ya Qur'ani zimesambazwa nchini Imarati na Taasisi ya Habari ya Jumuiya ya Kimataifa ya Qur'ani ya Zawadi ya Dubai.
2011 May 29 , 17:53
Akademia ya Ahlulqur'an imetangaza kwamba imeanza kusajili majina ya washiriki katika mashindano ya 14 ya Qur'ani Tukufu katika jimbo la Florida huko Marekani.
2011 May 29 , 17:48