Kituo cha Kiislamu cha Uingereza kimeanza kutoa mafunzo ya kitabu kitakatifu cha Qur’ani kwa watu waliosilimu wanaoishi nchini humo.
2011 Jun 11 , 21:12
Katika juhudu za kueneza elimu ya Qur’ani, Kituo cha Maelezo ya Kiislamu ICC kinaandaa Darsa za Sayansi za Qur’ani huko Borneo Malaysia.
2011 Jun 11 , 14:01
Kongamano la ‘Nafasi ya Vyombo vya Habari katika Kutetea Heshima ya Qur’ani limefanyika Juni 9 katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
2011 Jun 11 , 13:37
Nakala kubwa zaidi ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa hati za mkono na msanii Muhammad Sabir Yaqut Hussaini wa Afghanistan itazinduliwa hivi karibuni.
2011 Jun 08 , 18:37
Mpango wa kina wa kuhifadhi Qur’ani Tukufu unatazamiwa kuanza Qatari kuanzia tarehe 17 Julai.
2011 Jun 08 , 14:55
Kamati kuu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani na Hadithi maalumu kwa vijana wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi imebuniwa nchini Kuwait.
2011 Jun 07 , 14:04
Maqari wa Qur'ani Waislamu wanatazamiwa kusoma kitabu hicho kitukufu katika makanisa ya Marekani sambamba na maadhimisho ya Siku ya Milango Wazi na Makanisa nchini Marekanihapo tarehe 26 Juni.
2011 Jun 06 , 15:16
Kitabu chenye anwani ya 'Hadithi za Wanyama katika Qu'rani' kilichoandikwa na mwandishi wa Lebanon Ahmad Bahjat kitazinduliwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
2011 Jun 06 , 14:25
Fainali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya Morocco itafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jun 06 , 14:22
Maonyesho ya mimea iliyotajwa katika Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW yanafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
2011 Jun 02 , 14:05
Nakala za kitabu kitukufu cha Qur’ani zimegawanywa na kusambazwa kati ya wasiokuwa Waislamu katika jimbo la Bihar kwenye mji wa Siwan nchini India.
2011 Jun 01 , 20:31
Washindi wa masindano ya kila mwaka ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu mjini Asyut Misri walienziwa hapo jana Jumanne tarehe 31 Mei.
2011 Jun 01 , 18:11
Shirika la Qatargas linafadhili warsha kadhaa katika fremu ya harakati za kitaifa za kuimarisha elimu katika vituo vya kujifunza Qur’ani kote nchini Qatar.
2011 Jun 01 , 16:01