Kozi fupi ya kuhifadhi Qur'ani kwa ajili ya washichana inaanza Juni 20 Doha mji mkuu wa Qatar.
2011 Jun 20 , 15:37
Mwakilishi wa Faqihi Mtawala ambaye ni mkuu wa Shirika la Wakfu na Masuala ya Kheri nchini Iran amesema kuwa hadi sasa wawakilishi wa nchi 53 wamesajili majina yao kwa ajili ya kushiriki katika Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi wa Rajab nchini Iran.
2011 Jun 20 , 12:12
Kitabu cha al Kashif cha Allamah Muhammad Jawad Mughnia ni tafsiri ya Qur'ani iliyokamilika ambayo ndani yake mwandishi ametoa ufafanuzi wa aya za Qur'ani na hakika za thamani.
2011 Jun 19 , 16:28
Masomo ya hifdhi ya sura fupi za Qur'ani Tukufu na udhibiti wa sheria za tajwidi kwa mabinti wadogo walio na umri wa kati ya miaka 6 hadi 8 yamepangwa kuanza hapo kesho Jumatatu mjini Doha, Qatar na kuendelea kwa muda wa wiki tano.
2011 Jun 19 , 15:59
Shughuli ya kuandikisha majina ya washiriki katika warsha ya Nuru na Kitabu iliyopangwa kufanyika katika mji wenye wafuasi wengi wa madhehebu ya Shia wa Umm al Hammam katika mkoa wa Qatif nchini Saudi Arabia ilianza jana.
2011 Jun 19 , 15:56
Toleo la kwanza la Jarida la Qur’ani na Tiba litachapishwa na Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 Jun 19 , 12:05
Kikao cha tafsiri ya baadhi ya sura za Qur'ani Tukufu kitafanyika tarehe 2 Julai katika Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha London nchini Uingereza.
2011 Jun 18 , 18:31
Wizara ya Elimu ya Iran imetangaza kwamba inapanga kuajiri walimu 5000 wapya ili kuinua kiwango cha masomo ya Qur’ani katika shule nchini.
2011 Jun 18 , 12:45
Duru ya tisa ya kimataifa ya masomo ya hifdhi ya Qur'ani ya kipindi cha kiangazi itaanza katika Mskiti wa al Hamraa katika mji wa Dammam, Saudi Arabia kwa kuwashirikisha watu kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hiyo na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.
2011 Jun 15 , 18:10
Kanali ya Qur'ani ya Algeria itarusha hewani kipindi maalumu cha Tajul Qur'ani (Taji la Qur'ani) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jun 15 , 18:08
Televisheni ya satalaiti ya al-Hafidh ya nchini Misri kwa mara ya kwanza itaanza kurusha hewani moja kwa moja vipindi vya Jumuiya ya Muujiza wa Kielimu wa Qur'ani na Suna kuanzia mwezi mtukufu wa Shaaban.
2011 Jun 14 , 18:34
Masomo ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wa Imarati yamekuwa yakiendelea huko mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu kwa utayarishaji wa kitengo cha mwongozo cha Idara ya Masuala ya Kiislamu na Kheri ya Dubai.
2011 Jun 14 , 18:26
Haram ya Imam Hussein bin Ali (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq itakaribisha wasomaji mashuhuri wa Qur'ani kutoka maeneo mbalimbali duniani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Jun 14 , 16:47