Vikao kadhaa vya usomaji Qur’ani vinapangwa kufanyika pembizoni mwa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tehran yanayoanza siku ya Alhamisi.
2011 Jun 27 , 10:53
Ustadh Abulainain Shoaisha alivutiwa sana na marehemu Muhammad Rif'at, gwiji wa makarii wa Misri na alikamilisha kiraa yake kwa kujaribu kuiga mbinu yake ya usomaji Qur'ani.
2011 Jun 27 , 10:45
Darul Qur'an al-Kareem ya mjini Nassiriyya katika jimbo la Dhiqar imeandaa vikao vya Fatiha hii leo Jumapili kwa ajili ya kukumbuka na kumuombea dua Abulainain Shoaisha Sheikh wa Makarii wa Misri aliyeaga dunia hivi karibuni.
2011 Jun 26 , 16:20
Kuwait imekuwa nchi ya kwanza ya Kiarabu mwenyeji wa maonyesho ya nakala za maandishi ya mkono na vitabu vya Kiislamu kutoka Bosnia Herzegovina.
2011 Jun 23 , 13:55
Awamu ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya kiraa ya Qur’ani Tukufu makhsusi kwa ajili ya watoto ya Qatar itaonyeshwa katika kanali ya televisheni ya al Jazeera Ijumaa ya wiki hii.
2011 Jun 22 , 16:18
Kituo cha habari cha Mas’haf al Madina kimezinduliwa na Jumuiya ya Uchapishaji na Usambazaji wa Qur’ani Tukufu ya Mfalme Fahad mjini Madina, Saudi Arabia kwa lengo la kutoa huduma za intaneti katika nyanja za Qur’ani na sayansi za kitabu hicho.
2011 Jun 22 , 15:18
Waislamu wa Ufilipino wanaoishi katika Umoja wa Falme za Kiarabu wametuma nchini kwao nuskha 100 za Qur'ani kwa mnasaba wa kukaribia mwezi mtukufu wa Qur'ani.
2011 Jun 22 , 14:43
Jopo la majaji wa Mashindano ya 28 ya Qur’ani Tukufu ya Iran limeshateuliwa, amesema naibu mkuu wa Shirika la Wakfu la Iran.
2011 Jun 22 , 14:22
Qur'ani zilizoandikwa kwa hati za mkono zitaonyeshwa katika maonyesho maalumu ya Qur'ani yaliyopangwa kufanyika hivi karibuni huko Sanaa mji mkuu wa Yemen.
2011 Jun 22 , 13:02
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi ya Qur’ani na Hadithi yatafanyika wiki ijayo mjini Jakarta Indonesia yakiwashirikisha washindani kutoka nchi wanachama katika jumuiya ya Asean za kusini mashariki mwa Asia.
2011 Jun 20 , 19:26
Masomo ya kufunza mbinu za kufundisha Qur'ani Tukufu na uendeshaji wa madarasa ya Qur'ani yanaendelea nchini Bahrain kwa udhamini wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Wizara ya Sheria, Wakfu na Masuala ya Kisilamu ya Bahrain.
2011 Jun 20 , 17:16
Ili kuinua kiwango cha wasomaji Qur'ani, warsha maalumu zimepangwa kufanyika katika vyuo vikuu vya tiba katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2011 Jun 20 , 16:55
Kozi fupi ya kuhifadhi Qur'ani kwa ajili ya washichana inaanza Juni 20 Doha mji mkuu wa Qatar.
2011 Jun 20 , 15:37