Vituo vya Qur’ani Tukufu vitafunguliwa katika mabustani yote ya mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
2011 Sep 03 , 11:12
Mkuu wa Darul Qur'an za Idara ya Magereza ya Iran amesema wafungwa wamehitimisha Qur'ani Tukufu mara 130 elfu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kote nchini.
2011 Aug 30 , 15:19
Sambamba na sherehe za 'Wiki ya Serikali' nchini Iran, Wizara ya Elimu na Malezi imetangaza ripoti ya mafanikio yake katika kustawisha elimu ya Qur'ani Tukufu.
2011 Aug 30 , 15:13
Mwakilishi wa Waliul Faqih katika Shirika la Waqfu la Iran amesema kuwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu anatazamia kuwa suala la kuongeza idadi ya Wairani waliohifadhi Qur'ani litapewe umuhimu.
2011 Aug 29 , 14:50
Kuandaliwa mashindano ya Qur'ani hutoa msukumo wa umoja miongoni mwa Waislamu duniani.
2011 Aug 29 , 14:46
Mashindano ya Qur'ani kwa njia ya televisheni yaliyopewa jina la Aliif, Laam, Miim yamekuwa yakifanyika nchini Pakistan kupitilia kanali ya televisheni ya Geo Tv.
2011 Aug 28 , 19:00
Kituo cha mafunzo ya Qur'ani Tukufu kilifunguiwa siku ya Ijumaa huko Grozni mji mkuu wa Jamhuri ya Chechnia.
2011 Aug 28 , 11:40
Mashindano ya 11 ya kimataifa ya Qurani Tukufu makhsusi wa ajili ya akinamama na watoto yamefanyika katika kituo cha QIIC nchini Qatar.
2011 Aug 27 , 20:50
Maonyesho ya sanaa za Kiislamu za Palestina yanafanyika Morocco kuanzia Agosti 22.
2011 Aug 23 , 21:31
Jumuiya ya Qur'ani kwenye mkoa wenye Waislamu wengi wa madhehebu ya Shia wa Saihat huko mashariki mwa Saudi Arabia imesema kuwa kongamano la 9 la kila mwaka ka Qur'ani Tukufu ambalo lilianza tarehe 15 Ramadhani limekamilisha shughuli zake.
2011 Aug 21 , 15:43
Sheikh Hamdan Bin Mohammad Bin Rashid al Makhtoum Mrithi wa Kiti cha Ufalme Dubai amewatunuku zawadi washindi 10 wa Mashindano ya 15 ya Qur'ani ya Kimataifa ya Dubai.
2011 Aug 21 , 14:54
Sheikh wa al Azhar nchini Misri amesema katika ufunguzi wa Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Misri kwamba baadhi ya kanali za televisheni zinafanya njama za kudhihirisha kwamba Qu'ani ya Mashia inatofautiana na ile ya Masuni na kwamba madai hayo ni urongo mtupu unaotaka kuzusha fitina.
2011 Aug 20 , 16:06
Mashindano ya 8 ya Kimataifa ya Hifdhi na Kiraa ya Qur'ani Tukufu yataanza kesho nchini Algeria katika mji wa Telmsan yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 47.
2011 Aug 20 , 15:25