Vikao vya kiraa ya Qur'ani Tukufu vinafanyika katika misikiti ya miji mbalimbali ya Marekani.
2011 Sep 26 , 15:46
Duru ya 24 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu na Hadithi, maalumu kwa vijana wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi, yameanza leo Jumatatu nchini Kuwait.
2011 Sep 26 , 14:17
Serikali ya Uturuki imeondoa sharti la umri kwa watoto wanaotaka kuhudhuria kozi za Qur’ani zinazoendeshwa bila malipo katika misikiti nchini humo wakati wa msimu wa joto.
2011 Sep 21 , 15:45
Kuzingatia masuala ya kidini, kimaadili na elimu ya jamii ya vijana pamoja na kuwekeza katika harakati za Qur’ani ni njia muafaka ya kupunguza uhalifu wa kijamii.
2011 Sep 21 , 15:37
Zaidi ya mahafidhi wa Qur'ani Tukufu 50 wameenziwa na kushukuriwa katika tamasha maalumu lililoandaliwa na Kituo cha Mafunzo, Hifdhi ya Qur'ani na Hadithi za Mtume (saw) cha Ukanda wa Gaza.
2011 Sep 19 , 15:19
Mashindano ya 24 ya Qur'ani Tukufu na Hadithi ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi yamepangwa kufanyika tarehe 24 hadi 29 Septemba nchini Kuwait.
2011 Sep 14 , 18:40
Aidh al Qarani ambaye ni miongoni mwa mamufti wakubwa wa Kiwahabi wa Saudi Arabia ametoa mtazamo wa kuchekesha kwa kufananisha kuingia dikteta wa Misri Hosni Mubarak na wanawe wawili mahakamani na jinsi Nabii Yusuf AS na vijana wawili walivyoingizwa jela!
2011 Sep 10 , 19:08
Muhammad Abdul Fadhil al-Qausi, Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Misri ameafiki kufanyika duru ya pili ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya walemavu wa akili.
2011 Sep 10 , 17:48
"Baada ya kushuhudia kasisi wa Kimarekani akiivunjia heshima Qur'ani kwa kuchoma moto kitabu hicho kitakatifu niliathirika mno na kuchukua uamuzi wa kutengeneza athari hii itakayobakia muda mefu."
2011 Sep 08 , 14:07
"Baada ya kushuhudia kasisi wa Kimarekani akiivunjia heshima Qur'ani kwa kuchoma moto kitabu hicho kitakatifu niliathirika mno na kuchukua uamuzi wa kutengeneza athari hii itakayobakia muda mefu."
2011 Sep 08 , 13:52
Kupuuza mafundisho ya Qur’ani Tukufu kunatokana na kutofuata misingi yake katika maisha halisi. Hakuna haja ya maneno tu bila vitendo .
2011 Sep 07 , 15:31
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu ISESCO limechapisha insiklopidia ya manaa na istilahi za Qur'ani Tukufu katika juzuu mbili.
2011 Sep 05 , 17:56
Vituo vya Qur’ani Tukufu vitafunguliwa katika mabustani yote ya mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
2011 Sep 03 , 11:12