Mashindano ya 8 ya Kimataifa ya Hifdhi na Kiraa ya Qur'ani Tukufu yataanza kesho nchini Algeria katika mji wa Telmsan yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 47.
2011 Aug 20 , 15:25
Naibu Waziri anayesimamia masuala ya magazeti na utafiti wa kielimu katika Wizara ya Wakfu ya Saudi Arabia ametahadharisha dhidi ya kuuzwa Qur'ani Tukufu zilizo na kasoro za chapa katika maktaba na maduka ya vitabu katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
2011 Aug 19 , 10:35
Washindi wa mashindano ya kimataifa ya Imarati yaliyofanyika chini ya anwani 'Kiraa Bora zaidi cha Qur'ani', ambayo yaliwashirikisha washindani 24 kutoka nchi 9 wanatazamiwa kufanyiwa sherehe maalumu ya kuwapongezatarehe 23 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 19 , 10:30
Sherehe ya kufungua mashindano ya kimataifa ya hifdhi, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika mjini Cairo Misri hapo kesho Alkhamisi tarehe 18 Agosti.
2011 Aug 17 , 15:12
Maonyesho ya Kaligrafia ya Qur’ani iliyotayarishwa na mtaalamu Muirani Abbas Rahmani yamefunguliwa Agosti 16 katika Taasisi ya Utamaduni ya Al Hayy nchini Qatar.
2011 Aug 17 , 11:53
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani yamefanyika katika Shule ya Sekondari Al-Haramain katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam na washindi kukabidhiwa zawadi Agosti 14.
2011 Aug 17 , 11:45
Shule ya kwanza ya watoto inayotoa mafundisho ya Qur'ani Tukufu inayoitwa Imam Hussein (as) imepangwa kufunguliwa hivi karibuni katika mji mtakatifu wa Karbala.
2011 Aug 16 , 17:12
Maonyesho yanayoonyesha kazi za kisanii za Wasil Hananov, msanii wa Kirussia zenye maudhui mbalimbali ya Qur'ani Tukufu yanaendelea huko katika mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.
2011 Aug 16 , 17:06
Washindi wa mashindano ya kimataifa ya hifdhi ya Qur'ani maalumu kwa viziwi ambayo yalifanyika nchini Kuwait tokea tarehe 8 hadi 10 za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani wamearifishwa na kutunukiwa zawadi.
2011 Aug 15 , 15:18
Mpango wa kuhifadhi Qur’ani maalumu kwa watoto unaendeshwa Dubai nchini Imarati katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
2011 Aug 15 , 15:16
Washindi wa Mashindano ya 21 ya Qur’ani ya Sultan Qaboos nchini Oman watatunukiwa zawadi katika Msikiti wa Sultan Qaboos mjini Muscat Jumatatu 15 Agosti.
2011 Aug 15 , 15:10
Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 7 wa Pakistan amepata nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya hifdhi ya Qur'ani yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Makka.
2011 Aug 14 , 16:22
Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu Morocco yajulikanayo kama "Zawadi ya Mfalme Mohammad wa Sita" yameanza Agosti 13 katika Msikiti wa al Sunnat katika mji wa Rabat.
2011 Aug 14 , 14:25