Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka harakati na mwamko wa kuhifadhi Qur'ani nchini Iran uongezewe kasi.
2011 Nov 06 , 15:22
Mashindano ya kimataifa ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yatafanyika tarehe 19 Novemba katika mji wa Toronto nchini Canada kwa hima ya Jumuiya ya Imam Ridha (as).
2011 Nov 02 , 19:37
Washindi wa mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa walemavu wa akili nchini Misri wataenziwa baada ya kumalizika sikukuu ya Idul Adh'haa.
2011 Oct 30 , 11:20
Idara ya elimu na malezi ya Mkoa wa Dhi Qar ulioko kusini mwa Iraq imeandaa mashindano ya hifdhi na tajwidi ya Qur'ani Tukufu ambayo yamepangwa kuzishirikishja shule zote za msingi za mkoa huo.
2011 Oct 27 , 12:48
Kikao cha kuchunguza misimamo ya Wakristo kuhusu kitabu kitakatifu cha Qur'ani katika kipindi chote cha historia kitafanyika Jumamosi ijayo katika Chuo Kikuu cha Tennessee nchini Marekani.
2011 Oct 27 , 12:42
Naibu Waziri wa Elimu wa Iran amesema kuwa wizara hiyo imepasisha suala la kuanzishwa Nyumba ya Qur'ani katika vyuo vikuu kote nchini.
2011 Oct 27 , 12:41
Nakala ya kale na nadra ya Qur'ani yenye umri wa miaka 500 inaonyeshwa katika mtandao wa intaneti kwa hima ya Chuo Kikuu cha Manchester huko Uingereza.
2011 Oct 26 , 16:26
Mashindano ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yatafanyika tarehe 1 Novemba nchini Brunei.
2011 Oct 24 , 17:26
Katika kipindi ambacho utawala haramu wa Israel unafanya mjama za kupotosha historia ya Kiislamu ya mji wa Quds Tukufu huko Palestina kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuchoma moto nakala za Qur'ani ndani ya misikiti, gazeti la Haaretz la Israel limetangaza kuwa maonyesho ya nuskha za kale za Qur'ani Tukufu yanafanyika katika mji huo.
2011 Oct 24 , 15:04
Jumuiya ya Masuala ya Kheri katika kanda ya Riyadh nchini Saudi Arabia imenza kuandikisha majina ya watu wanaotaka kushiriki katika mpango wa kuhifadhi Qur'ani mzima katika kipindi cha miaka mitatu.
2011 Oct 22 , 22:23
Maonyesho ya 'Hazina ya Uchoraji na Uandishi wa Mkono wa Kiislamu' yanayojumuisha nuskha na hati za Kiislamu na Qur'ani yalianza jana Ijumaa katika jumba la maonyesho ya mambo ya kale na maktaba ya mjini New York.
2011 Oct 22 , 16:25
Shakhsia 60 wanaojishughulisha na masuala ya Qur'ani wataenziwa kesho kutokana na hima na juhudi za Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur'ani ya Makka Tukufu.
2011 Oct 17 , 17:34
Wizara ya Masuala ya Kiislamu, Wakfu na Mwongozo ya Saudi Arabia imetangaza kuwa wawakilishi wa nchi 52 dunia watashiriki katika mashindano ya 32 ya kimataifa ya hifdhi, tajwidi na tafsiri ya Qur'ani yatakayofanyika nchini humo.
2011 Oct 17 , 17:07