Mufti wa Kisaudi Arabia amekiri kwamba kitabu kitakatifu cha Qur'ani ni shifaa hata kwa Wasiokuwa Waislamu.
2011 Nov 16 , 19:24
Katika Qur’ani Tukufu kuna karibu aya 400 zinazohusiana na afya, lishe na tiba, amesema mtaalamu wa masuala ya tiba ya Kiislamu nchini Iran.
2011 Nov 16 , 16:14
Mashindano ya 12 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Ras al Khaimah yataanza Novemba 15 kukiwa na vitengo viwili vilivyoongezwa.
2011 Nov 14 , 17:58
Kiongozi wa Kiislamu wa Nigeria amesema katika ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya kiraa ya Qur'ani kwamba kuna haja ya kutangazwa siku ya taifa ya Qur'ani nchini humo.
2011 Nov 14 , 14:06
Mtandao wa intaneti wa http://android-apps.com umetengeneza programu ya Qur'ani ambayo ina sifa makhsusi ikiwa ni pamoja na kutarjumu Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kisweden.
2011 Nov 14 , 11:46
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sheikhein ya Misri amesisitiza umuhimu wa kubuniwa kamati ya kimataifa ya uchapishaji Qur'ani.
2011 Nov 13 , 13:16
Vikao vya kuanisika na kiraa ya Qur'ani Tukufu vimepangwa kufanyika katika mikoa mbalimbnali ya Iraq katika sikukuu ya Ghadir Khum inayosadifiana na Jumanne ya wiki ijayo.
2011 Nov 12 , 19:14
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia imegawa nakala milioni 20 za kitabu cha Qur'ani Tukufu na vitabu vya kidini kwa mahujaji waliokwenda kujihi mwaka huu.
2011 Nov 12 , 19:12
Tamasha ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa watoto itafanyika tarehe 18-22 Aprili mwakani katika Taasisi ya Kiislamu ya Villa Park katika jimbo la Illinois.
2011 Nov 12 , 16:24
Duru ya saba ya mashindano ya kila mwaka ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu ya Amerika Kaskazini yamepangwa kufanyika mwezi Machi mwakani.
2011 Nov 08 , 16:41
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu na Tablighi ya Saudi Arabia imetawanya zaidi ya nushkha za Qur'ani milioni tatu ambazo zimetarjumiwa kwa lugha tofauti miongoni mwa mahujaji ambao hivi sasa wako nchini humo kwa ibada tukufu ya hija.
2011 Nov 08 , 16:40
Mashindano ya kitaifa ya usomaji Qur'ani Tukufu kwa watoto wasio na walinzi yamepangwa kufanyika Brussels mji mkuu wa Ubelgiji hapo tarehe 19 Novemba.
2011 Nov 06 , 20:20
Rais Mahmoud Ahmadinejad wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka harakati na mwamko wa kuhifadhi Qur'ani nchini Iran uongezewe kasi.
2011 Nov 06 , 15:22