Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kiislamu ya Dubai amesema kuwa imeundwa tena kamati maalumu ya kuchapisha na kusambaza Msahafu wa Kitaifa wa Imarati kwa jina la Msahafu wa Sheikh Maktoum bin Rashid Aal Maktoum.
2011 Nov 27 , 16:57
Kikao cha wawakilishi wa taasisi za Qur'ani Tukufu kilifanyika Alkhamisi iliyopita huko Madrid mji mkuu wa Hispania.
2011 Nov 26 , 16:53
Tamasha ya Kitaifa ya Qur’ani ya Wanafunzi nchini Iran imemalizika katika sherehe zilizofanyika Ijumaa katika mji mtakatifu wa Mash'had.
2011 Nov 26 , 16:37
Kikao cha kuratibu na kupanga mashindano ya kitaifa ya Imarati Tuzo ya Dubai kilifanyika jana katika mji wa Dubai.
2011 Nov 23 , 20:16
Mashindano ya kwanza kabisa ya Qur’ani maalumu kwa wanawake yamefanyika Novemba 20 huko Toronto, Canada.
2011 Nov 23 , 16:13
Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) leo Novemba 21 limezindua kitengo kipya cha 'Qur'ani na Uchumi'.
2011 Nov 21 , 14:52
Awamu ya 17 ya Olimpiadi ya Kimataifa ya Qur’ani kuhusu tafsiri ya Qur'ani, ufahamu na sayansi ya kitabu hicho imefanyika Novemba 18 katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
2011 Nov 20 , 14:31
Duru za sita ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Qatar yenye anwania ya 'Sheikh Ghanim bin Ali Athani' yataanza Disemba Mosi mwaka huu nchini humo.
2011 Nov 20 , 13:43
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran Dakta Ali Larijani amesema sababu ya kuendelea mwamko wa Kiislamu katika eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ni kufuatwa mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
2011 Nov 19 , 15:52
Wanawake Waislamu walipata haki zao zote katika zama za Bwana Mtume Muhammad SAW, amesema mtafiti wa Qur’ani kutoka Misri.
2011 Nov 19 , 15:48
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Azad, tawi la Mashhad nchini Iran kinapanga kuandaa kongamano la Kimataifa la Qur’ani Tukufu mwakani.
2011 Nov 19 , 15:42
Kituo cha Utamaduni cha Hafez huko Vancouver Canada kimeandaa maonyesho ya Qur’ani kuhusu ‘Dhihirisho la Umaanawi katika Sanaa ya Kiislamu’.
2011 Nov 17 , 23:08
Mufti wa Kisaudi Arabia amekiri kwamba kitabu kitakatifu cha Qur'ani ni shifaa hata kwa Wasiokuwa Waislamu.
2011 Nov 16 , 19:24