Watafiti kadhaa wa utamaduni wa Kiislamu nchini China wamegundua tarjumi ya kwanza ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono. Tarjumi hiyo ni ya lugha ya Kichina.
2011 Dec 17 , 16:13
Ensaiklopidia ya sayansi za Qur’ani yenye kalamu erevu inayozungumza na yenye qiraa ya maqari 20 mashuhuri inaonyeshwa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu huko Doha mji mkuu wa Qatar.
2011 Dec 17 , 16:09
Awamu ya mwisho ya mashindano ya sita ya Qur'ani ya hifdhi na tafsiri ya Qur'ani nchini Qatar inafanyika leo alasiri mjini Doha.
2011 Dec 14 , 19:00
Madrasa kubwa zaidi ya Qur’ani Tukufu duniani imepengwa kujengwa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
2011 Dec 14 , 16:11
Viongozi wa Morocco wameelezea nia yao ya kutekeleza mpango wa kuimarisha vituo vya masomo ya hifdhi ya Qur'ani na Hadithi za Mtume (saw) nchini humo.
2011 Dec 14 , 15:59
Mkutano wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu na Nafasi Yake katika Ustaarabu wa Kiislamu umeanza leo katika mji wa al Hussein nchini Jordan.
2011 Dec 13 , 17:16
Mkutano wa kikanda wa vyuo vya Qur'ani Tukufu umeanza leo nchini Malaysia kwa hima ya Jumuiya ya Kimataifa ya Qur'ani iliyochini ya Jumuiya ya Kimataifa ya Uislamu.
2011 Dec 12 , 11:18
Naibu Mkuu wa Kituo cha Darul Qur'ani katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wanajeshi 600 watashiriki katika Mashindano ya 31 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Wanajeshi nchini baadaye mwezi huu.
2011 Dec 11 , 15:31
Mahakama ya Jinai ya Alexandria nchini Misri imeahirisha kikao cha kusikiliza kesi inayowakabili watu waliohusika na kusambaza nakala za Qur'ani Tukufu zenye makosa ya chapa hadi tarehe 28 Februari mwakani.
2011 Dec 11 , 10:04
Kituo cha Kiislamu cha Uingereza kimeanzisha masomo ya muda ya mafunzo ya Qur'ani na sheria za Kiislamu kwa Waislamu wapya mjini London.
2011 Dec 10 , 16:47
Mafunzo ya Qur'ani na sayansi ya kitabu hicho yatachunguzwa katika warsha itakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kiislamu nchini Malaysia tarehe 12 na 13 Disemba.
2011 Dec 10 , 16:37
Sherehe ya kuwaenzi Mahafidh wa Qur'ani Tukufu walioshiriki katika duru ya nane ya mashindano ya al-Hafidh al-Muwatin ya mjini Dubai Imarati ilifanyika Jumatano iliyopita.
2011 Dec 10 , 16:08
Mahafidhi wa Darul Qur'ani ya Haram ya Imam Hussein (as) katika mji mtakatifu wa Karbala jana walishiriki katika shughuli ya kuomboleza mauaji ya mjukuu huyo wa Mtume Muhammad (saw).
2011 Dec 07 , 18:02