Washindi wa mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya Annabaa Libaraim al Hudaa makhsusi kwa ajili ya watoto, wameenziwa leo katika taasisi ya Tajul Wiqar nchini Qatar.
2012 Jan 04 , 20:10
Iyyad al-Kaabi, ustadh wa Kituo cha Kitaifa cha Masomo ya Qur'ani nchini Iraq amesema kuwa Baraza Kuu la Qur'ani litaanzishwa hivi karibuni nchini humo.
2012 Jan 04 , 15:41
Kongamano la kila mwaka la Taasisi za Qur'ani katika mkoa wa Najaf lilifunguliwa jana Jumatatu katika mji huo mtakatifu.
2012 Jan 03 , 16:09
Maonyesho ya tatu ya Sanaa na Qur'ani chini ya anwani ya 'Amana Takatifu' yalifunguliwa jana Jumatatu katika jumba la maonyesho ya mambo ya kale huko Nouakchott mji mkuu wa Mauritania.
2012 Jan 03 , 15:51
Qur'ani kubwa zaidi duniani iliyoandikwa kwa hati za mkono ilionyeshwa jana katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu wa Pakistan mjini Kabul.
2012 Jan 01 , 15:18
Raia wa mji wa Evere nchini Ubelgiji watafunzwa maarifa ya kitabu kitukufu cha Qur'ani katika kikao kilichopewa jina la 'Hakika na Ujumbe wa Qur'ani Tukufu' kitakachofanyika tarehe 7 Januari.
2012 Jan 01 , 11:49
Kueneza misingi ya Qur’ani na kuimarisha utamaduni wa Qur’ani ni mambo ambayo yanahitaji kuakisiwa ipasavyo katika vyombo vya habari.
2012 Jan 01 , 11:04
Kituo cha Kimataifa cha Kuchapisha na Kusambaza Qur'ani Tukufu kilichopewa jina la Darus Salaam kimefunguliwa katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
2011 Dec 31 , 17:57
Mashindano ya 7 ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani yamepangwa kuanza tarehe 25 hadi 27 Januari katika mji wa Casablanca nchini Morocco.
2011 Dec 31 , 17:57
Tarjumi mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiingereza imechapishwa nchini Misri na Taasisi ya Dar al Shoruq mjini Cairo.
2011 Dec 31 , 14:47
Duru ya 9 ya mashindano ya kitaifa ya kiraa ya Qur'ani Tukufu ilikamilika siku ya Alkhamisi huko Peking mji mkuu wa China.
2011 Dec 31 , 14:44
Mohammad Mahdi Haqguyan, qari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atashiriiki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yatakayofanyika Sudan.
2011 Dec 29 , 16:51
Tafsiri ya sura tukufu ya Hud imepangwa kuchunguzwa hivi karibuni katika Chuo cha Queen Mary katika Chuo Kikuu cha London.
2011 Dec 28 , 15:39