Muhammad Qaim Swafa Fumi Sawada, Mwislamu wa Kishia wa Japan ambaye ni mtarjumi wa Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kijapani na ambaye ameandika vitabu kadhaa vya Kiislamu na Kishia ameaga dunia.
2012 Jan 11 , 12:34
Zaidi ya wanafunzi milioni moja wa shule kote nchini Iran wamejisajilisha kushiriki katika Mpango wa Kitaifa wa Kuhifadhi Qur'ani ujulikanao kama Noor kupitia tovuti ya Qur'ani za shule.
2012 Jan 10 , 13:42
Mtoto mwenye umri wa miaka sita, Umar Abdul Razaq, ameshinda mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yaliyoandaliwa hivi karibuni na Jumuiya ya Mujahidun huko Lagos, Nigeria.
2012 Jan 10 , 13:23
Nakala ya kale ya Qur'ani Tukufu iliyopambwa kwa dhahabu itaonyeshwa kwa mara ya kwanza katika maonyesho ya "Hazina za Kiislamu za China" itayafofanyika tarehe 14 Februari katika jimbo la Tringano nchini Malaysia.
2012 Jan 09 , 11:41
Awamu ya 17 ya Olimpiadi ya Qur’ani Tukufu nchini Afghanistan imefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
2012 Jan 09 , 11:17
Jumuiya ya Waislamu wa kaskazini mwa Marekani ICNA imeanza kugawa nakala za Qur'ani Tukufu na vitabu vya Kiislamu kwa raia mbele ya maktaba za umma kwa shabaha ya kufuta taswira isiyokuwa sahihi ya Wamarekani kuhusu Uislamu na kuarifisha sura halisi ya dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
2012 Jan 08 , 17:08
Miujiza ya kisayansi na kijamii ya Qur'ani Tukufu inapaswa kutumiwa katika masuala mablimbali ya kielimu, kitiba na kijamii.
2012 Jan 08 , 15:00
Mkuu wa Kamati ya Kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Kuwat maarufu kama 'Zawadi ya Kuwait' amesema zaidi ya nchi 50 zitashiriki katika mashindano hayo.
2012 Jan 08 , 14:42
Afisa anayeshughulikia mpango wa kutarjumu tafsiri ya al Mizan kwa lugha ya Kifaransa katika Jumuiya ya Nyaraka na Maktaba ya Taifa ya Iran amesema kuwa tafsiri hiyo itatarjumiwa kwa lugha ya Kifaransa na wataalamu wa tarjumi ya Qur'ani wa vyuo vikuu vya kidini wataalikwa kushiriki katika mradi huo.
2012 Jan 07 , 16:59
Mufti Mkuu wa Palestina Sheikh Muhammad Hassan ametembelea Baitul Qur'ani katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
2012 Jan 07 , 16:57
Kituo cha Kuarifisha Uislamu kinachojulikana kwa jina la Dhuyuf Qatar kinachofungamana na Jumuiya ya Masuala ya Kheri ya Id kimetangaza kwamba hivi karibuni kitachapisha tarjumi za Qur'ani milioni moja kwa lugha tofauti muhimu za dunia.
2012 Jan 07 , 14:06
Sheikh Muhammad Uwaiza, qarii mashuhuri Mmisri wa Qur’ani Tukufu ameaga dunia Januari nne.
2012 Jan 07 , 14:01
Washindi wa mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu ya Annabaa Libaraim al Hudaa makhsusi kwa ajili ya watoto, wameenziwa leo katika taasisi ya Tajul Wiqar nchini Qatar.
2012 Jan 04 , 20:10