Wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano mapema leo mbele ya makao makuu ya askari wa Marekani mjini Kabul wakipinga kitendo cha kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu kilichofanywa na wanajeshi wa Marekani.
2012 Feb 21 , 18:31
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuimarisha Utamaduni wa Qur'ani amesema mpango wa 'Darsa za Qur'ani' utatekelezwa katika shule 25,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
2012 Feb 21 , 16:11
Mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Tanzania yalifanyika jana kwa hima ya Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur'ani ya Pemba huko visiwani Zanzibar kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuhifadhisha Qur'ani Tukufu.
2012 Feb 20 , 20:06
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina mpango wa kuvungua vituo vya Darul Qur'an katika nchi mbalimbali duniani.
2012 Feb 20 , 17:38
Mashindano ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika tarehe 12 Mei huko Santa Clara katika jimbo la California nchini Marekani.
2012 Feb 20 , 12:42
Kituo cha Kiislamu cha Uingereza kimeandaa masomo maalumu ya Qur'ani Tukufu na sheria za Kiislamu kwa Waislamu wapya waliosilimu katika siku za hivi karibuni katika Kituo cha Kiislamu kilichoko katika mji mkuu wa Uingereza, London.
2012 Feb 18 , 16:36
Tabu la Rekodi za Dunia Guinness limeutambua msahafu wenye urefu wa mita mbili ulio katika mji wa Kazan, Russia kuwa mkubwa zaidi duniani.
2012 Feb 18 , 16:26
Viongozi wa eneo la Dongjiang kaskazini magharibi mwa China wameamua kujenga jumba la kuhifadhi nakala ya Qur'ani ya kale ili kulinda turathi hiyo ya thamani ya Kiislamu.
2012 Feb 18 , 16:23
Semina ya wiki moja yenye anwani ya 'Qur'ani katika Ulimwengu wa Sasa' itafanyika Marekani katika Chuo Kikuu cha Princeton, New Jersey.
2012 Feb 16 , 12:25
Wanafunzi 83 wa Kituo cha Kuhifadhisha Qur'ani Tukufu cha al Aflah nchini Somalia walienziwa katika sherehe iliyofanyika jana.
2012 Feb 15 , 17:47
Mashindano ya 34 ya Qur'ani ya taifa nchini Iran yataanza kesho yakiwashirikisha makari bora 370 wa Qur'ani katika mji wa Bandar Abbas ulioko kusini mwa Iran.
2012 Feb 13 , 20:59
Duru ya 14 ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu imepangwa kufanyika tarehe 28 Februari katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
2012 Feb 13 , 20:58
Maadhimisho ya 13 ya Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika katika Kituo cha Kidini cha Dar al Imam katika mji mkuu wa Ageria, Algiers.
2012 Feb 13 , 16:01