Redio Qur'ani ya Cairo Misri leo imetimiza umri wa miaka 48 tangu iasisiwe.
2012 Mar 25 , 12:12
Polisi ya mji wa Ben Gardan nchini Tunisia imetangaza kuwa imeanza uchunguzi mkubwa wa kuwasaka watu waliovunjia heshima Qur'ani Tukufu katika mji huo.
2012 Mar 18 , 16:26
Taasisi ya Darul Qur'ani ya mji wa Nasiriyya huko kusini mwa Iraq itasimamia kikao cha Qiraa ya Qur'ani Tukufu Jumanne ya wiki hii.
2012 Mar 18 , 16:25
Nakala 5000 za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya kireno zimesambazwa kote Brazil miongoni mwa Waislamu.
2012 Mar 18 , 10:50
Jumuiya ya Iqra ya Uholanzi inasimamia mashindano ya kwanza ya hifdhi ya Qur'ani makhsusi kwa watoto wadogo na vijana katika mji wa Hoofddorp tangu tarehe 14 Machi.
2012 Mar 17 , 18:38
Kasisi wa Marekani aliyeivunjia heshima Qur'ani Tukufu Terry Jones amewapongeza askari wa nchi hiyo huko Aghanistan kwa kuchoma moto nakala za kitabu kitakatifu cha Qur'ani katika kituo cha anga cha Bagram.
2012 Mar 17 , 16:44
Duru ya mwanzo ya mashindano ya 22 ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu itaanza Jumamosi ijayo mjini Muscat, Oman.
2012 Mar 14 , 17:03
Kikao cha sita cha kimataifa ambacho hufanyika kila mwaka kuhusiana na muujiza wa kielimu wa Qur'ani Tukufu na Suna za Mtume (saw) kilianza jana Jumanne katika chuo cha ufundi cha al-Mansuriyya huko mjini Cairo Misri.
2012 Mar 14 , 14:33
Washindi wa mashindano yaliyoandaliwa na Kanali ya Televisheni ya Kimataifa ya al Kauthar wataenziwa Alkhamisi ijayo katika sherehe itakayofanyika kwenye Haram ya Hadhrat Maasuma (as) katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
2012 Mar 13 , 17:50
Qiraa ya Qur'ani Tukufu huimarisha mfumo wa kinga mwilini na kuchangia kwa kiwango kikubwa katika kuponya mgonjwa.
2012 Mar 12 , 14:15
Wanachuo wa Kiislamu wa Pakistan jana Jumamosi walifanya maandamano ya kulaani hatua ya askari jeshi wa Marekani ya kuchoma moto kitabu kitakatifu cha Waislamu, Qur'ani, katika kituo chao cha kijeshi huko Bagram nchini Afghanistan.
2012 Mar 11 , 15:02
Jumuiya ya Kiislamu ya Boston imechukua hatua ya kupachika mabango yenye maandishi ya aya za Qur'ani Tukufu katika vituo vya treni za chini ya ardhi maarufu kwa jina la metro kwa shabaha ya kupambana na propaganda chafu zinazofanywa dhidi ya Uislamu na kudhihirisha sura halisi ya dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
2012 Mar 11 , 14:52
Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa hati za mkono mwaka 1112 Miladia inaonyeshwa katika chumba cha Austria katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu mjini Riyadh, Saudi Arabia kwa ajili ya kuuzwa.
2012 Mar 10 , 22:27