Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ambayo hufanyika Iran kila mwaka yanatazamiwa kuanza tarehe 26 Rajab sawiya na 17 Juni mwaka huu ambapo nchi 95 zimealikwa kushiriki.
2012 Apr 09 , 14:53
Kasisi Terry Jones wa Marekani aliyewahi kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu Jumamosi ya jana alikusanyika na wafuasi wake kadhaa mbele ya Kituo cha Kiislamu cha mji wa Dearborn katika jimbo la Michigan huko Marekani.
2012 Apr 08 , 16:06
Mashindano ya saba ya kimataifa ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yamemaliza shughuli zake katika mji wa Bhopal nchini India.
2012 Apr 08 , 15:54
Mwakilishi Mwarabu katika Bunge la Israel Ahmad al Tibi amesema kuwa anatayarisha mashtaka rasmi dhidi ya kundi moja la wanaharakati wa Kizayuni wa chama cha mrengo wa kulia waliokivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
2012 Apr 08 , 12:47
Naibu Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Kuwait amesema kuwa nchi 50 duniani zitashiriki katika mashindano ya kimataifa ya hifdhi, kiraa na tajwidi ya Qur'ani Tukufu, Tuzo ya Kuwait.
2012 Apr 08 , 12:00
Kituo cha Qur'ani cha Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimetangaza kuwa kitaanzisha tovuti kamili ya Qur'ani na Tiba katika kipindi cha mwaka mmoja ujao.
2012 Apr 07 , 16:48
Awamu ya mwisho ya mashindano ya 24 ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya itafanyika tarehe 8 Aprili katika mji wa Wuppertal nchini Ujerumani.
2012 Apr 04 , 21:11
Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Qatar Dr. Ghaith bin Mubarak al Kuwari Jumapili alifungua maonyesho ya kaligrafia ya Kiarabu katika Kituo cha Qur'ani cha Sheikha Moza bint Mohammad mjini Doha.
2012 Apr 03 , 15:33
Uuzaji na nakala za Qur'ani Tukufu zilizopasishwa na Taasisi ya Uhakiki wa Kiislamu ya Chuo cha al Azhar nchini Misri umepigwa marufuku huko Palestina kutokana na makosa ya kichapa yaliyoko katika nakala hizo.
2012 Apr 02 , 12:28
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Jordan imetangaza kwamba nchi 9 tayari zimetangaza kwamba zitashiriki katika mashindano ya 20 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini humo.
2012 Mar 26 , 12:32
Mashindano ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu yatafanyika mwezi wa Ramadhani wa mwaka huu chini ya usimamizi wa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Palestina.
2012 Mar 26 , 12:19
Maandamano makubwa ya kutetea Qur'ani Tukufu yamepangwa kufanyika leo nchini Tunisia chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Teolojia ya nchi hiyo.
2012 Mar 25 , 12:13
Redio Qur'ani ya Cairo Misri leo imetimiza umri wa miaka 48 tangu iasisiwe.
2012 Mar 25 , 12:12