Chuo Kikuu cha Al Azhar mjini Cairo Misri kinaandaa mfululizo wa semina kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu.
2012 Apr 16 , 17:50
Jumuiya ya Uturuki ya Kutoa Misaada ya Kibinadamu IHH (Insani Yardim Vakfi ) imeanza mpango maalumu wa kusambaza nakala laki moja za Qur'ani Tukufu nchini Ethiopia.
2012 Apr 15 , 22:50
Nakala moja ya aina yake ya Qur'ani yenye umbo dogo sana inahifadhiwa na mkusanya vitabu mmoja nchini Ukraine.
2012 Apr 14 , 18:13
Gavana wa jimbo la Kebbi nchini Nigeria ametenga bajeti makhsusi ya mashindano ya Qur'ani ambao sasa yatakuwa yakifanyika kwa mpangilio makhsusi katika jimbo hilo.
2012 Apr 14 , 18:13
Nakala za dijitali za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya ishara zimeanza kusambazwa nchini Jordan katika wilaya ya Rasifa.
2012 Apr 14 , 17:19
Semina ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu katika Jamii ya Leo itafanyika Desemba Mosi na Pili mwaka huu katika Chuo Kikuu cha Zainul Abidin huko Terengganu nchini Malaysia.
2012 Apr 12 , 12:23
Duru ya tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Hifdhi, Kiraa na Tajwidi ya Qur’ani Tukufu Tuzo ya Kuwait yameanza leo Jumatano nchini humo.
2012 Apr 11 , 14:54
Ofisi ya upashaji habari ya Idara ya Masuala ya Waislamu wa Russia imetangaza kuwa mashindano ya kiraa ya Qur'ani Tukufu yatafanyika katika mji wa Tolyatti katika siku chache zijazo.
2012 Apr 10 , 20:25
Tamasha ya Qur'ani za Dijitali yenye anwani ya 'Tamasha ya Imani ya Kitaifa ya Qur'ani' inatazamiwa kufanyika katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran chini ya usimamizi wa Taasisi ya Utamaduni ya Soroushe Mehra kwa ushirikiano wa Wizara ya Elimu na Shirika la Simu za Mkononi nchini Iran MCI.
2012 Apr 10 , 17:28
Duru ya 14 ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yamepangwa kufanyika tarehe 27 Mei nchini Uingereza.
2012 Apr 09 , 18:15
Mafunzo ya muda ya Qur'ani Tukufu makhsusi kwa ajili ya walemavu wa macho yalianza kutolewa jana katika Chuo cha Kiislamu cha Arsanov katika mji mkuu wa Chechnia, Grozny.
2012 Apr 09 , 18:14
Wizara ya Wakfu ya Misri imesema inapanga kuandaa mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani katika mustakabali usio mbali nchini humo.
2012 Apr 09 , 14:53
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ambayo hufanyika Iran kila mwaka yanatazamiwa kuanza tarehe 26 Rajab sawiya na 17 Juni mwaka huu ambapo nchi 95 zimealikwa kushiriki.
2012 Apr 09 , 14:53