Wizara ya Majumba ya Makumbusho na vituo vya kukarabati nakala zilizochaa za Qur'ani katika Umoja wa Falme za Kiarabu itatoa zawadi nakala za kale za Qur'ani Tukufu kwa nchi za Kiafrika baada ya kufanyiwa marekebisho.
2012 Apr 28 , 19:14
Semina ya elimu ya tafsiri ya Qur’ani tukufu imeanza leo katika mji wa Cap Town nchini Afrika Kusini.
2012 Apr 28 , 13:33
Kasisi mmoja wa Marekani amechukua hatua ya kufundisha aya za Qur’ani katika moja ya makanisa ya jimbo la Virginia nchini humo.
2012 Apr 28 , 13:33
Mkaguzi na mwakilishi wa serikali ya Algeria katika mahakama moja mjini Algiers amefanya kitendo kiovu cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
2012 Apr 23 , 18:00
Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imemtahadharisha Kasisi Terry Jones juu ya kukariri hatua yake ya mwaka uliopita ya kuchoma moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani na picha zinazodaiwa kuwa ni za Mtume Muhammad (saw).
2012 Apr 21 , 20:07
Mashindano ya kiraa ya Qur'ani na hifdhi ya hadithi za Mtume Muhammad (saw) makhsusi kwa wanafunzi wa kike wa shule za Kiislamu yalimalizika juzi katika jimbo la Nizhny Novgorod huko Russia.
2012 Apr 18 , 21:54
Karii kijana wa Iran Ridha Golshahi ameshika nafasi ya tatu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yaliyomalizika jana nchini Kuwait.
2012 Apr 18 , 21:54
Kongamano la kimataifa lenye anuani ya 'Ustawishaji Utafiti wa Qur'ani' limepangwa kufanyika nchini Saudi Arabia mwezi Februari mwakani.
2012 Apr 18 , 21:53
Mkristo mmoja anayeishi katika Umoja wa Falme za Kiarabu anamiliki nakala ndogo zaidi ya kitabu kitakatifu cha Qur'ani iliyoandikwa kwa hati za mkono.
2012 Apr 17 , 21:39
Siku ya tano ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini Kuwait imeshuhudia mchuano mkali baina ya makarii wa Kiafrika.
2012 Apr 17 , 21:21
Kongamano la kimataifa la Ustawi wa Utafiti wa Masuala ya Qur’ani litafanyika mapema mwaka ujao katika Chuo Kikuu cha Mfalme Saud nchini Saudi Arabia.
2012 Apr 16 , 23:59
Wizara ya Afya katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itaunda kitengo maalumu cha Qur'ani wizarani hapo.
2012 Apr 16 , 17:58
Chuo Kikuu cha Al Azhar mjini Cairo Misri kinaandaa mfululizo wa semina kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu.
2012 Apr 16 , 17:50