Mahmoud Hussein Hashimi, mwambata wa masuala ya utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Falme za Kiarabu Imarati, amesema kuwa Iran itawakilishwa hivi karibuni katika duru ya 29 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu, Zawadi ya Dubai ambayo imepangwa kufanyika nchini humo tarehe 18 Juni.
2012 May 22 , 17:35
Kamati ya kubuni sera ya awamu ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu imefanya kikao chake cha kwanza katika mji wa Tabriz kaskazini-magharibi mwa Iran.
2012 May 22 , 10:43
Mashindano ya Qur’ani maalumu kwa watoto yamefanyika Mei 20 katika mkoa wa Chelyabinsk nchni Russia.
2012 May 22 , 09:41
Kikao cha kufarijika na Qur'ani Tukufu kimefanyika katika chuo cha kidini cha Naima mjini Lakore katika jimbo la Punjab nchini Pakistan.
2012 May 21 , 17:57
Warsha ya mafunzo ya Qur'ani Tukufu iliyoandaliwa na Chuo cha Qur'ani cha New Garden Town imefanyika katika chuo hicho kilichoko katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
2012 May 21 , 17:57
Kozi ya Qur’ani Tukufu imekamilika Mei 17 katika Msikiti wa Imam Hussein AS katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
2012 May 20 , 11:00
Katibu wa Mashindano ya 4 ya Kimataifa ya Qur'ani Maalumu kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu yatafanyika Mwezi Septemba mwaka huu katika mji wa Tabriz nchini Iran.
2012 May 19 , 22:56
Duru ya nne ya mashindano ya kimataifa ya hifdhi na kiraa ya Qur'ani Tukufu ambayo yalikuwa yameandaliwa na Taasisi ya Qur'ani ya Bibi Rukia (sa) na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka nchi kadhaa za Kiislamu ilimalizika hapo siku ya Jumapili katika mji mtakatifu wa Qum, nchini Iran.
2012 May 15 , 17:42
Kikao cha 'Nafasi ya Mahafidh wa Qur'ani katika Kuimarisha Jamii' ya nchi za Chad na Cameroon kimepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Chad N'djamena tokea Jumatatu tarehe 21 hadi Mei 24.
2012 May 12 , 12:11
Baraza la Waasisi la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu lilianzisha jana Jumanne nchini Imarati mwishoni mwa semina ya kimataifa ya mashindano ya Qur'ani.
2012 May 09 , 18:02
Nigeria hado iko nyuma katika masuala ya teknolojia ya kisasa na kwa msingi huo wanafunzi wa Qur'ani wangali wanatumia mbinu na suhula za zamani za kufundishia Qur'ani.
2012 May 09 , 17:51
Masomo ya maarifa ya Kiislamu na Qur'ani yalianza kutolewa Jumatatu iliyopita katika Taasisi ya Qur'ani ya Lucknow katika Jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
2012 May 09 , 12:11
Kongamano la kwanza la kimataifa la muujiza wa kielimu wa Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume (saw) lilianza hapo siku ya Jumapili katika Chuo Kikuu cha Bani Suweif mjini Cairo.
2012 May 08 , 14:06